Zitto awatake radhi watanzania kwa kuwapotosha kuhusu posho za wabunge huku akijua posho ni kwa watu

watanzania mnashangza sana, mnashindwa kuelewa kuwa posho za wabunge zimeongezeka kutokana na ukweli kuwa wao walikuwa wakilipwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na watumishi wengine wa serikali kuu kama vile makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa mashirika ya umma, halmashauri mbalimbali nchini, walimu polisi, madaktari na wengine wengi wanapoenda kufanya kazi nje ya vituo vyao vya kazi.kwa mfano mwali au polisi au daktari au mtumishi yeyote yule anapotoka mwanza kwenda dar es salaam kikazi hulipwa sitting allowance au perdiem ya shilingi 200,000 au zaidi au pungufu kulingana na cheo au hadhi yake. Kwa hiyo siyo kweli kwamba posho za wabunge ndizo kubwa tu kuliko za wengine, tusiwe watu wa kuwabagua wenzetu, bango linashikwa kwa wabunge pekee yao, mbona hatuwashikii watumishi wengine? Siyo kweli kwamba walimu hawalipwi posho wakisafiri kama wabunge nje ya vituo vyao vya kazi, mwalimu au polisi au mtumishi yeyote yule anaposafiri hulipwa hizo posho kulingana na cheo chao. Kwa hiyo tusilaumu wenzetuy kwa sababu wana safiri sana kikazi, tatizo kubwa ni kuwa watumishi kama walimu huwa hawapati trip sana kama wabunge lakini wangepata trip kama wabunge wasingelalamika, na ofcourse haiwezekani wafanyakazi wote wakalingana katika kila kitu,hii ni kwa sababu nature ya kazi za wafanyakazi ni tofauti. Nashauri zitto kabwe awe mkweli katika hili, analijua vizuri sana kuwa watumishi wote hulipwa posho wanaspokuwa nje ya vituo vyao vya kazi kama wabunge na si wabunge peke yao. Msema kweli ni mpenzi wa mungu, katika hili zitto kawapotosha watanzania, azungumzie na watumishi wengine, lakini inaelewka kuwa anataka kuongeza umaarufu kwa kuwarubuni watu, vilevile akaunti yake imeshiba sana, wakati fulani gazeti moja liliandika kuwa ana zaidi ya shilingi milioni 500, huku akiwa na magari yenye garama kubwa sana yaani hummer, rangerover, ma vx, nissan nk. Yote haya kayapataje? Atueleze yametoka wapi, ni vema akawa anaeleza ukweli badala ya kutaka umaarufu kuwa yeye ni mzalendo huku ikiwa ni kinyume chake, lakini inwezekana akawa na chanzo kingine cha mapato, lakini isije ikawa ni misaada anayoomba kwa ajili ya jimbo lake halafu anafanyia mambo yake.katika hili la posho tusiwaonee wabunge na wala mimi binafsi siwalaumu wale wote wanopinga ongezeko hili ila wa kulaumiwa ni zitto aliyepotosha huku akijua kuwa hata watumishi wengine hulipwa posho kama wabunge na wwengine huzidi hata wabunge. Tutafakari upya na tusipelekwe na watu wanaotaka umaarufu kwa kuwalaghai wenzao
wewe huna roho nzuri, na siku zote ukimuona mtu anamjadili mtu baada ya kujadili hoja credibility yake lazima iwe questionable, huna lolote jipya zaidi hummer, vx n.k ndo vinakurusha roho huna lolote, jitahidi kufafanua tofauti iliyopo kati ya per diem na posho, ukitumwa na mafisadi wa ccm uyasome kwanza mauozo yako na si kumwaga kila kitu kwa great thinkerswewe ni muongo muongooooo... Unadhani sie ni bongo lala?? Hujui kuwa pale dodoma wabunge wanakuwa kazini?? Ina maana na walimu wakiwa kazini wakiandaa schemes of work n.k walipwe posho maana hamna per diem apo, we vipi?? Naisi wewe utakuwa ni dr kashilila, unaefikilia kwa kutumia masabuli, wadhani zito kwa hayuko serikalini paala mnapofanya ufisadi na kutajirika kirahisi, atakuwa hana biashara au vyanzo vingine vya kumuingizia kipato??yaani thread yako imeboa leo na ujue umetoa kitu kisokuwa na mashiko na nakushauri ondoa upupu wako au kajipange upya, najua mafisadi wana kuuma na wanakupeleka puta puta
 
Watanzania mnashangza sana, mnashindwa kuelewa kuwa posho za wabunge zimeongezeka kutokana na ukweli kuwa wao walikuwa wakilipwa kiasi kidogo sana ikilinganishwa na watumishi wengine wa serikali kuu kama vile makatibu wakuu wa wizara, wakurugenzi wa mashirika ya umma, halmashauri mbalimbali nchini, walimu polisi, madaktari na wengine wengi wanapoenda kufanya kazi nje ya vituo vyao vya kazi.

Kwa mfano mwali au polisi au daktari au mtumishi yeyote yule anapotoka Mwanza kwenda Dar es salaam kikazi hulipwa sitting allowance au perdiem ya shilingi 200,000 au zaidi au pungufu kulingana na cheo au hadhi yake.

Kwa hiyo siyo kweli kwamba posho za wabunge ndizo kubwa tu kuliko za wengine, tusiwe watu wa kuwabagua wenzetu, bango linashikwa kwa wabunge pekee yao, mbona hatuwashikii watumishi wengine? siyo kweli kwamba walimu hawalipwi posho wakisafiri kama wabunge nje ya vituo vyao vya kazi, mwalimu au polisi au mtumishi yeyote yule anaposafiri hulipwa hizo posho kulingana na cheo chao.

Kwa hiyo tusilaumu wenzetuy kwa sababu wana safiri sana kikazi, tatizo kubwa ni kuwa watumishi kama walimu huwa hawapati trip sana kama wabunge lakini wangepata trip kama wabunge wasingelalamika, na ofcourse haiwezekani wafanyakazi wote wakalingana katika kila kitu,hii ni kwa sababu nature ya kazi za wafanyakazi ni tofauti.

Nashauri Zitto Kabwe awe mkweli katika hili, analijua vizuri sana kuwa watumishi wote hulipwa posho wanaspokuwa nje ya vituo vyao vya kazi kama wabunge na si wabunge peke yao. Msema kweli ni mpenzi wa mungu, Katika hili zitto kawapotosha watanzania, Azungumzie na watumishi wengine, lakini inaelewka kuwa anataka kuongeza umaarufu kwa kuwarubuni watu, vilevile akaunti yake imeshiba sana, wakati fulani gazeti moja liliandika kuwa ana zaidi ya shilingi milioni 500, huku akiwa na magari yenye garama kubwa sana yaani HUMMER, RANGEROVER, MA VX, NISSAN nk. yote haya kayapataje?

Atueleze yametoka wapi, Ni vema akawa anaeleza ukweli badala ya kutaka umaarufu kuwa yeye ni mzalendo huku ikiwa ni kinyume chake, lakini inwezekana akawa na chanzo kingine cha mapato, lakini isije ikawa ni misaada anayoomba kwa ajili ya jimbo lake halafu anafanyia mambo yake.

Katika hili la posho tusiwaonee wabunge na wala mimi binafsi siwalaumu wale wote wanopinga ongezeko hili ila wa kulaumiwa ni zitto aliyepotosha huku akijua kuwa hata watumishi wengine hulipwa posho kama wabunge na wwengine huzidi hata wabunge. Tutafakari upya na tusipelekwe na watu wanaotaka umaarufu kwa kuwalaghai wenzao

hiyo bolded inaonyesha namna ambavyo hujafanya kazi yako vizuri
 
Huyo mwalimu anayelipwa TShs 200,000 posho ya kujikimu yuko Tanzania hii ninayoishi au Tanzania ya kufikirika?

Maswala ya posho ni magumu sana kwani watumishi wengi wa umma maendeleo yao yanatokana na hizi posho na siyo mshahara; unapoona mtu anaacha kazi ya TShs 1,500,000 sekta kwa mwezi na kwenda kulipwa TShs 350,000 serikalini maswali yanabaki mengi kuliko majibu. Na mtu huyu aliyekuwa analipwa TShs. 1,500,000 sekta binafsi hakuweza kununua gari lakini kutokana na mshahara wake wa serikalini kuongezeka hadi kufikia TShs. 350,000 kwa muda mfupi anakuwa na usafiri wake.

Ni bahati mbaya sana kuwa serikalini cheo cha mtu kinaonekana kutokana na jumla ya posho anazolipwa na siyo kiwango cha mshahara kwani mishahara imeandaliwa kijamaa sana (hazipishani sana) lakini ukija jumlisha posho mwenye cheo anahama toka ujamaa na kuingia kwenye hadhi ya mabepari

Kaka tunafamiana au?maana naona kma unanisema mimi vile?ny posho oyee,wakitoa posho tunakufa njaa jmn,watoe kwa wabunge tu kwetu waziache kma zilivyo
 
Back
Top Bottom