Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Last edited by a moderator:
mimi pia ni mwana siasa napenda malumbano ya siasaMzizi mkavu! Yaelekea hili bunge likianza utakuwa on line sana!
Poa lete habari yako? Avatar yako inanichekesha sana sijuwi umeipata waapi?We jamaa vipi wewe!
jamaaaaaaaaaaaaninina wasiwasi na ulikoamkia leo,
hivi kweli ulilala kwa mkeo?
Poa lete habari yako? Avatar yako inanichekesha sana sijuwi umeipata waapi?
huyo Zitto si yuko India?....au ni Zitto gani?...
hahhahahah nina mpenda huyu Mheshimiwa Mbunge Zito Kabwe kwa maneno yake yali makalinina wasiwasi na ulikoamkia leo,
hivi kweli ulilala kwa mkeo?
hhahahah mimi Silewi hata siku moja ulevi wangu mimi ni chai na kahawaWe mzizi mkavu sasa umeanza kuwa mbichi, unatumia kilevi?
hahahahahaahhh Makofi umeshangilia mkuu :canada: :lol: oahuyu anaitwa zitto mzizimkavu
wewe umo tu humu ndani unaogopa nini hahahahaahahahMie simo humo.
Nimemkuımbuka tu yupo India nina mpenda jinsi anavyofanya kazi zake akiwa kwenye Vikao vya bunge haahahahahahahahhuyo Zitto si yuko India?....au ni Zitto gani?...