Zitto awabeza viongozi wa CHADEMA; asema yeye ana mvuto...loh

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mh zitto ametoa sababu maalum zilizomfanya kuamua kugombania uenyekiti wa chadema....pamoja na hayo aameomba uchaguzi uwe huru.....
na zaidi ya yote amemaliza kwa kuwakandia vigogo wa chadema na kusema wamechoka hawafai kuongoza CHADEMA ya sasa inaitaji VIJANA....

shame on u zitto....nao wangesema chadema wanaitaji wazee leo hii ungekuwa unakula hela za CCM.....HAO HAO NDIO WALIOKUP MTAJI WA KUJULIKAANA NA CCM....INGIA KWENYE UCHAGUZI WAACHIE WANACHAMA WAAMUE....KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI AKUKUSAIDII.....

KWA KWELI NAKUSALUTE NA KUKUHESHIMU KAKAYANGU ILA KUANZA KUWATUKANA WAZEE WALIOKULETA MADARAKANI NADHAN SI USTAARABU...JARIBU UONGOZI UKISHINDWA AMIA CCM KAMA MWENZIO KABURU ANAKULA SHSHU TU BUNGE LA EAC....
 
Kwa maelezo zaidi soma gazeti la ,tanzaniadaima na uhuru
 
nina shaka na hii khabari, lakini kama ni ya kweli bac, naona sasa Zitto ndo anaelekea kwenye mwisho wake ndani ya Chadema,
lakini kwa mtazamo wangu nahisi kuna siri kubwa sana kati ya Zitto na Chadema, kuna fukuto linaloonekana la kumchoka Zitto ndani ya Chadema, na sababu ni kwa Zitto kuanza kulipa Fadhira kwa RA at el, nasema hivyo kwa sababu Tanzania Daima ni Gazeti la Mwenye Chadema, sasa iweje Kila kukicha linamponda Zitto tu.
 
nina shaka na hii khabari, lakini kama ni ya kweli bac, naona sasa Zitto ndo anaelekea kwenye mwisho wake ndani ya Chadema

NDUGU HIYO HABARI UTASEMA WALIAMBIANA MAGAZETI YOTE YAMETANDA KAMA UKO TAANZANIA WAWEZA LIPATA KAMA UKO KASULU MTUMIE NDUGUYO WA DAR AKUNUNULIE NIKUTUMIE UKO KIGOMA.....KAMA NDIO WENZANGU NA MIE.....BASI TUSUBRI KWENYE INTERNET
 
Tanzania Daima ni Gazeti la Mwenye Chadema, sasa iweje Kila kukicha linamponda Zitto tu

UHURU NALO NI LA CHADEMA?????????????????????
 
Hawa wezi kumwachia muuza bar akiongoze chama anashindwa kuwalipa mishahara mabamedi na walinzi (bouncer)leo mchaga hata Dj hamlipi akipata njii hii tutakunywa hata maji? Mhhh! Naogopa kusema sana wasije kuni Chacha wangwe bure!
 
No! This is a mistake! inabidi kufikiria kwa kina zaidi ili watu waweze kuwa na imani na uvumilivu wako wa ku-handle crisis!; stress! A strong leader should also possess these qualities. Kukurupuka siyo jambo zuri hasa kwa Taifa.
 
Mh zitto ametoa sababu maalum zilizomfanya kuamua kugombania uenyekiti wa chadema....pamoja na hayo aameomba uchaguzi uwe huru.....
na zaidi ya yote amemaliza kwa kuwakandia vigogo wa chadema na kusema wamechoka hawafai kuongoza CHADEMA ya sasa inaitaji VIJANA....


Mkuu inamaana ngumi zitapigwa siku yenyewe na mshindi ndio mwenyekiti??, Au ulimaanisha anagombea
 
Mkuu inamaana ngumi zitapigwa siku yenyewe na mshindi ndio mwenyekiti??, Au ulimaanisha anagombea
__________________


MC

OOOOOOOOOOOOOOOHHH NO COMMENT
 
Chadema ni just a group if people hawajakuwa hasa a political party.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom