Zitto avunja ukimya

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
"sijalishwa sumu..........
hakuna mwenye uwezo wa kunilisha sumu.,,
nilipoondoka Kigoma niliaga na wazee walinipa baraka zao.....

kuna watu wanasema eti nitahama, Chadema ni chama cha wana Kigoma, hatuwezi,
sifikirii, wala sijafikiria kuhama Chadema

wanaozusha hivyo wanaona mimi ni kikwazo kwao"
 
Yes --- na usiwe unawapinga hadharani viongozi wenzako, hata kama hukubaliani nao!!

Na achana kabisa na wale mafisadi papa -- akina Ra na wengine. Watakuangamiza tu, huwa hawana jema hata moja kwa taifa hili, mbali na kuwaibia tu.
 
zitto wa dowans bana, mapesa yote uliyohongwa kumaliza soo issue ya mikataba ya madini hayajakutosha tu
 
Na usiweke pupa sana kutaka uongozi wa CDM au hata urais wa nchi. Hii itakiuja tu naturally, wakati wako ukifika kwani ni Wanachadema ndiyo wanajua nani wa kuwaongoza -- na si hao mafisadi.
 
Mi naamini una uwezo mkubwa wa kuchambua hoja na kusimamia unachokiamini lakini heshimu maamuzi halali ya chama na kamati yenu ya wabunge,hakikisha unaonyesha udhaifu huo kwenye vikao ili ikitoka taarifa iwe ya pamoja. Naamini kuwa chama ni kikubwa kuliko mwanachama yeyote. Tusitengane 2015 lazima ccm waondoke kwa sanduku la kura.
 
Tunakupenda pia sisi CDM na haya ni maneno simama kwenye maneno yako, ila IF U ARE STILL CLOSE TO MAFISADI THERE IS NO WAY UTABAKI CDM, SYSTEM WILL ERUPTS YOU OUT automatically, huwezi tufanyia hivi tukacheka:caked: na wacha hii pia na mafisadi na utakosa uaminifu kwani SIRI za chama zitavuja, ukifanya hivi :typing: sisi tutafanya hivi:smash:stop unnecessary argument na viongozi wako:argue: , na usijidanganye ukiendelea na mafisadi utajificha, Matendo yako 2 yametuonyesha wazi ulivyokuwa upande wa mafisadi recently, so every step u make, u take, u speak, we watch you, tunakutafsiri mara mbili mbili ni Zitto yupi? Tupo pamoja still
 
CDM wajiandae kuandaa mrithi wa Zitto huko kigoma tumechoka na makelele yake .Kigoma inao watu wazuri kuzidi zitto, CDM anzeni mchakato wa kutafuta kijana msomi kuzidi zitto na ikiwezekana mpelekeni kozi za uongozi 2015 apambane na huyu mpiga kelele.
 
Aya ni maneno ya nani? Maana mwenye thread amequote hata bila kusema kasema nani? Hii ni aina gani ya reporting? Direct or indirect? Ukibanwa uchelewi kusema ulimnukuu mlevi wa ulanzi pale Ujiji village pub. Kama ni maneno ya kumnukuu Mh. Zitto basi bwn kabwela tunakushukuru. Alaf mh. ZITTO sijui kwa nini amekimbia hapa Jf siku izi hafiki wala kueleza maswaibu yanayomkuta. Usiikubali accelerating decceleration in your politics,dare to speak openly.
 
Tunakupenda pia sisi CDM na haya ni maneno simama kwenye maneno yako, ila IF U ARE STILL CLOSE TO MAFISADI THERE IS NO WAY UTABAKI CDM, SYSTEM WILL ERUPTS YOU OUT automatically, huwezi tufanyia hivi tukacheka:caked: na wacha hii pia na mafisadi na utakosa uaminifu kwani SIRI za chama zitavuja, ukifanya hivi :typing: sisi tutafanya hivi:smash:stop unnecessary argument na viongozi wako:argue: , na usijidanganye ukiendelea na mafisadi utajificha, Matendo yako 2 yametuonyesha wazi ulivyokuwa upande wa mafisadi recently, so every step u make, u take, u speak, we watch you, tunakutafsiri mara mbili mbili ni Zitto yupi? Tupo pamoja still

Well said nitakupigia :A S-rap::phone::A S-coffee::yo:
 
Back
Top Bottom