Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

na yule ambaye huwa anazimia jukwaani anaenda lini? Saa hii akila mweleka atasingizia nini? kumbuka hamna swaumu tena

CDM tunaomba team nzima ya wabunge iingie Igunga, japo kwa siku mbili mbili tu.

Makamanda kila mtu anawakubali tumieni huu uwezo wenu kuikomboa Igunga. Wanaingunga wako tayari kinachosumbua ni umasikini na pesa za CCM.

mkuu,
m/kiti wa chama aliahidi kwenye mkutano wa cdm Arusha siku ya tr 11/08 kwamba makamanda wote wa cdm watatia timu Igunga mara baada ya bunge. "Na haki ya mungu, hakuna kulala mpaka kieleweke!"- namnukuu. Nafikiri hata ujio wa Zito huko Igunga ni utekelezaji wa ahadi wa m/kiti!

Wanaenda kuvuna aibu na fedheha lakini yote siasa...

asiyejua kuwa nzitto ni sisiemu anyooshe kidole...asiyejua kuwa zitto kaenda ingunga kumsafishia njia mrithi wa rostam aseme suuuuuu...

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole! Wewe utakuwa umepatwa na maleria kwenye ubongo

Umenena mkuu huyun ka si MWITA25 basi dada yake, hawa ndio watu wanaoturudisha nyuma kwa maendeleo na ndio wanafanya CCM kupotea mvuto kwa vijana.....

kuwarudsha nyuma wap?wakat nyie ndio mnaorudsha nyuma maendeleo ya wananch yalioanzshwa na serkal ya ccm mf.Tundu lissu kuwakataza wasishrk ktka shughul za kijamii...polen CHADOMO...Kidumu chama tawala

Bila shaka ujio wa zitto kwenye kampeni za igunga ni chachu ya kuelekea kukinyakua kiti hicho.

Hatua kwa hatua, silaha moja baada ya nyingine hadi kitaeleweka tu.

Mkuu,
shaka ondoa! Jimbo tumeshalichukua. Jana nimewasikia cdm wakisema wanapita nyumba kwa nyumba na kuzungumza na kila mpiga kura. Na walisema makamanda wote wanatia timu Igunga kuhakikisha hakuna kulala hadi kieleweke!

Tatizo la CCM wamepeka wasanii kina Donii wanadhani kuna Fiesta Igunga wasukuma na taarabu wapi na wapi.

Last edited by a moderator:
Naona hofu na betrayal kwa viongozi wako kwenye maandishi yako..pole hata Slaa ni ccm anasubiri tumuweke mwanajumuia mwenzake arudi ccm...tatizo lake ni JK tu siyo ccm ok

Pole sana na jinamizi lako la udini naona utakufa nalo!wewe kweli jini mahaba

Mkuu kama ni cv atanishinda kwa kubebwa na baba yake,nasema hivi kama sio baba yake kumsafishia njia asingejaribu kuwa hapo alipo,endelea kupigia debe watoto wa washua na kamshahara kako ka manispaa
acha wivu mwenzio kasoma nawe kasome

Naona hofu na betrayal kwa viongozi wako kwenye maandishi yako..pole hata Slaa ni ccm anasubiri tumuweke mwanajumuia mwenzake arudi ccm...tatizo lake ni JK tu siyo ccm ok

udini utawa angamiza nyinyi... Kaz kuubili udini 2, kujenga hoja kumewashinda.... Na utabak kuwa maskini wa fikra mpaka mwisho wa uhai wako....

Similar Discussions

Back
Top Bottom