Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

Watakoma ubishi!!! Hao Magamba si walisema Zitto kaogopa kwenda Igunga!!!??? Ngoja moto ukawawakie kisawasawa sasa!!!
 
Hicho ni kisiki cha mpingo kama Mkapa kachemsha kwa Kasulumbai na Suzan Kiwanga watamuweza Zito? CCM maji ya shingo kazeni buti CDM jimbo lenu hilo
 
Wadau

CCM baada ya kupata taarifa ya kuwa kijana machachari ZTTO ZUBERI KABWE mwenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu ametua igunga jana wameamu kupeleka vilaza wao wengine Janaury Makamba na mukama ili kujarbu kunusuhuru hali mbaya wanayoipata kutokana na kasi kali ya CHADEMA.

CCM hawana chao tena igunga tunasubiria km wana ubavu wakamvue chenge na lowasa ili tukabebe tena majimbo yao.

The only bright and Great thinker ...hakuna mwingine huko cdm..
 
CCM kweli wanazeeka vibaya, sasa January wamempeleka kupiga campaign au kufanya maonyesho kwamba nao wana wabunge vijana? Moto wa CDM hawauwezi, wao waelekeze nguvu zao kwenye sekta waliyobobea ya kuchakachua kura tu.
Wapi Nape aliyedhihirisha uwoga wake juu ya Zitto?
 
asiyejua kuwa nzitto ni sisiemu anyooshe kidole...asiyejua kuwa zitto kaenda ingunga kumsafishia njia mrithi wa rostam aseme suuuuuu...
Hopeless kwani CCM wote wabovu kuna punje unaweza kuokoteleza humo hata kama akiwa ccm kama ameelekeza bunduki kwa adui ni sawa tu, tunachota ni adui afe si kauawa na nani.
 
Hopeless kwani CCM wote wabovu kuna punje unaweza kuokoteleza humo hata kama akiwa ccm kama ameelekeza bunduki kwa adui ni sawa tu, tunachota ni adui afe si kauawa na nani.

Naona hofu na betrayal kwa viongozi wako kwenye maandishi yako..pole hata Slaa ni ccm anasubiri tumuweke mwanajumuia mwenzake arudi ccm...tatizo lake ni JK tu siyo ccm ok
 
Naona hofu na betrayal kwa viongozi wako kwenye maandishi yako..pole hata Slaa ni ccm anasubiri tumuweke mwanajumuia mwenzake arudi ccm...tatizo lake ni JK tu siyo ccm ok
Nilifikiri najadili na mwelewa kumbe fuko la mashini ya unga limejaa upepo.
 
Ana ushawishi mkubwa sana!
Jaribu kusikiliza speech zake

Siyo kweli kwamba amewahi kutoa spichi zozote za maana pale alipo ni kwa sababu ya kubebwa yaani ni afadhali J.Mtatilo kuliko Huyo wa kubebwa kama si mizengwe ya CCM wala asingemuweza Mzee Shelkindo. Nimemsikiliza kama mara mbili hasa akiongelea masuala yanayohusu kamati yake ila pumba tu ambaz\o hata Ngeleja huziongea sasa sijui anakipi. Je unataka kutuambia anautofauti gani na Nape.
 
Alimtukana Mzee Slaa hadi magazeti yakashindwa kuandika maneno yake, Slaa akampa hadi J'3 awe amekanusha nafikiri haya tunayoyaona ni malipo yake ila kwa CCM wasivyo na mshipa wa aibu atakuwa anapanda jukwaani na mme mwenzie.
<br />
<br />
Alitukana mamba kabla hajavuka mto.Zitto namkubali
 
Mukama ndo atawapoteza kabisaaa! Maana hadi tulimsahau kama yupo dunia. Toka achaguliwe tulimsikia mwezi mmoja tu kisha akapotea, hivyo bado yupo kt ulimwengu wa kisiasa? Si aende kwa pinda akakope powertila akaendeleze kilimo kwanza.
 
Bila shaka ujio wa zitto kwenye kampeni za igunga ni chachu ya kuelekea kukinyakua kiti hicho.

Hatua kwa hatua, silaha moja baada ya nyingine hadi kitaeleweka tu.
 
Mukama ndo atawapoteza kabisaaa! Maana hadi tulimsahau kama yupo dunia. Toka achaguliwe tulimsikia mwezi mmoja tu kisha akapotea, hivyo bado yupo kt ulimwengu wa kisiasa? Si aende kwa pinda akakope powertila akaendeleze kilimo kwanza.

Uteuzi wa mukama kuwa katibu mkuu wa magamba ni uteuzi ambao hata wao wenyewe wanaujutia. Ndio tatizo la mwenyekiti kuteua vilaza kwenye chama kama anavyofanya serikalini.
 
Nawafagilia barabara mkikosa kazi za kufanya muanzishe maandamano! Nawaandalia barabara nzuri za kwenda kuwamwagia watu tindikali na kwenda kuwapiga viongozi wenu
Najua lazima tuwe na binadamu kama ww Rejao!!maana hata science inadhihirisha hilo ili kufanya mambo yaende kati ya jamii flani lazima viumbe mtofautiane!!la sivyo "competition for resources will be high"lakini naimani ukweli unaujua.Ni utoto tu ukikua utaacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom