Zitto atikisa Bagamoyo leo

mkuu, asante kwa taarifa ya kamanda zzk cha msing aendelee na mapambano ya kukijenga chama mengine baaaaadaaaeee
 
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!
No wapumbavu na sio wajinga, maana ujinga unaondoka ila upumbavu kamwe hauondoki
 
Huu mgawanyo nimeupenda sana wakuu, hakika ni mapambano usiku mchana. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!

Akili mufilisi inafikiri vitu mufilisi inasema maneno mufilisi. ZZK yuko bagamoyo kumsaka diwani wa watu wa bagamoyo, ZZK ni wa kigoma, huo ukabila wa chama u wapi kama sio uhayawani unaouleta hapa?? Hakuna chama cha siasa hata kimoja cha kikabila tuache siasa mbovu na za ajabu, haya maneno ya mitaani ndio yanaharibu nchi kuanzia sasa inabidi tuwachukie wote wanaotaka kutubagua kwa sababu zozote zile na tunaanza na wewe. Hivi bila kusema dini ya mtu na kabila ya mtu huwezi post?? Sisi CDM hatuoni kabila, dini, wala rangi tunaona watanzania full stop.

Hii post imejaa uwongo sana. Ushabiki ni mwingi zaidi ya uhalisia. Ulikuwa mkutano mkubwa na mzuri lakini hapakuwa na dua wala lolote. Kwanini Mtu utunge uongo?

Kamanda ni kawaida yao wanatafuta choko choko wewe kamua tu, hawawezi tulia kazi kwa gia kubwa. Tujenge chama tujenge watanzania tujenge Tanzania yenye neema na nuru mpya.
 
wakubwa nimefurahia hii thread ya ushirikiano kwa makamanda wa CDM, hawa ndio viongozi tunawataka kwa hali zote, maombi yangu mungu ni kwamba ccm na vibaraka wake wote washindwe na kila mmoja wetu afunguliwe macho aone ubaya na hatari ya ccm kutunyonya na kutugawa kwa misingi ya ukbaila, dini na ukanda, naomba vijana wote tuungeni mkono anguko la ccm.
Naomba makamanda wote tupige kura zetu kesho na tusilinde. PIA TUFANYENI UCHUNGUZI JUU YA MBINU ZA KUTUIBIA KURA ZETU KWA MAGAMBA.
 
Back
Top Bottom