Zitto atikisa Bagamoyo leo

Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!
Toa mapendekezo na ushauri Zitto aende Chama gani kitakachompitisha ktk nafasi ya URAIS..kama ni CCM, CUF au chochote kile....
 
Mbunge wa kigoma kaskazini CHADEMA zito kabwe amefunika bagamoyo Mpaka wazee wa pwani wamemuombea dua malumu mtu yeyote atakaye fikiria kumuhujumu kwa makusudi au kwa bahati mbaya mwenyezi mungu amshugurikie mtu huyo.pia ameruhusiwa agombee cheo chochote ktk nchi hii wazee wapo nyuma yake wame mwambia asiwe na hofu yoyote tutakurinda pambana kijana tupo nyuma yako tupo pamoja.haya yametokea baada ya zito kufanya mkutano mkubwa sana Bagamoyo wa kumnadi mgombea wa kata ya magomeni ndugu.SETEBE TIMIZA SETEBE.chadema inanafasi nzuri ya kuinyakua kata ya magomeni. Pamoja na zito kabwe pia alikuwepo katbu wa chadema jimbo la ubungo mhe.ALLY SAIDI MAKWILO. ambeye amepiga kambi ktk kata hiyo kuhakikisha chadema ina shinda udiwani.

Huu ni ***** wa hali ya Juu, i don't think if this real is from a great thinker!!!

Guy to me keeping silence if u don't have something vital to share/post is highly appriciated than just provoking.

Kwan hao wazee wa Bagamoyo ndio spokesmen wa wa Taznzania 43M??? To me this is Rubish, sina chuki na tatzo na Zitto kugombea nafasi yoyote na hata kuwa kiongozi wa nchi hii but the issue is why this should be an agenda???

Mtu yeyote anafanya the way Zitto anavyofanya na wafuasi wake to elite peoples they should always question the integrity and all associated criteria to such leadership aspiring people!

My suggestion sion sababu ya Zitto au wafuasi wake kupiga kelele na kuhisi hawezi kuetndewa haki in this early stage they should get prepared and if at all nafasi ni Zitto no one can stop him though it can be delayed!!

Otherwise i will personally believe that Zitto has hiden agenda with his supporters and possibly the underground discussion that Zitto na marafiki zake wameanzisha Chama kinaitwa Chauma are true story na anacho fanaya Zitto kwa sasa ni kutafuta Umarufu wa bure ili hata ikitokea kwa haki asiteuliwe na Chadema awe amecreate awareness na umaarufu kwa Watanzania ili wamsupport akiwa na chama chake hicho!

I remain to be critised by JF Members.
 
Ndg vp?Umelipwa kias gan kwa kaz unayoifanya?Maana km kipaj cha kupotosha mungu amekujaalia
 
Wazee wa Pwani, Dar Ndio vichaka wa wababaishaji mbona hakwenda kwa wazee wa Arusha? Kampeni zilikuwa za udiwani au zake?
 
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!

Hivi mgombea wa urais kupitia cuf ni wa dini ipi mkuu
 
Zito anapoteza muda ktk chama hiki cha kikabila na kidini! kamwe Chadema hawatathubutu kumpitisha agombee nafasi ya Urais kwani nafasi hii ina wenyewe na wenyewe ndio hao kabila fulani au dini fulani!!!!
aleluyaa!!
Kama Mungu alimwandikia kwamba awe Rais wa Tanzania, basi ataupata tu wakati ukifika. Lakini kama Mungu hakumuandikia hivyo, basi hata aende chama cha malaika, bado hawatampitisha.

Lakini mshauri apunguze uroho wa madaraka, na atumie hekima zaidi katika kuendesha mambo yake kuliko kukurupuka. Kama atakuwa ni mtu wa kukurupuka kiasi hiki basi kwenye nafasi ya urais katu hatatufaa.

Mtu anajijua kabisa hajatimiza umri wa kugombea urais, anatangaza kugombea urais kwa kutegemea eti marekebisho ya katiba mpya. Au ndiyo janja ya kutaka achukue form halafu siku ya siku akishapitishwa na chadema, wagombea wa vyama vingine wamkatie rufaa na hivyo kuifanya chadema iwe haina candidate? Apunguze u-optimistic.
 
Mbunge wa kigoma kaskazini CHADEMA zito kabwe amefunika bagamoyo Mpaka wazee wa pwani wamemuombea dua malumu mtu yeyote atakaye fikiria kumuhujumu kwa makusudi au kwa bahati mbaya mwenyezi mungu amshugurikie mtu huyo.pia ameruhusiwa agombee cheo chochote ktk nchi hii wazee wapo nyuma yake wame mwambia asiwe na hofu yoyote tutakurinda pambana kijana tupo nyuma yako tupo pamoja.haya yametokea baada ya zito kufanya mkutano mkubwa sana Bagamoyo wa kumnadi mgombea wa kata ya magomeni ndugu.SETEBE TIMIZA SETEBE.chadema inanafasi nzuri ya kuinyakua kata ya magomeni. Pamoja na zito kabwe pia alikuwepo katbu wa chadema jimbo la ubungo mhe.ALLY SAIDI MAKWILO. ambeye amepiga kambi ktk kata hiyo kuhakikisha chadema ina shinda udiwani.

Wewe ni Mkurya?
 
Hapa lugha imebadilishwa kutoka kwenye atakayempinga rais atakufa (Shekhe Yahya kwa Rais Kikwete). Hawa watu wanaamini sana majini na nyota na uchawi.
 
Back
Top Bottom