Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter

Kwenda Kortini ni sawa kabisa, naamini watashinda. Haiwezekani CCM wanafanya kampeni na serikali inatekeleza wakati huohuo kwa kugawa msaada wa chakula
 
Just be careful guys! Kuna account feki siku hizi, are u sure ni Zito Kabwe kweli aliyepost hivyo!? Sidhani! Hapo kuna mchezo unachezwa.
 
Inauma sana lakin its okey. Tulipata watu wengi kwenye mikutano yetu lakin haijawa riziki. Nina hakika ule umati weng wao hawakuwa wanejiandikisha ila nao inawauma pia next time watajiandikisha kwa hasira mana wametambua lilipo tatizo. Pamoja na hayo ni maendeleo makubwa kutoka kutokuwa na mgombe previous election 10 months ago leo hii tulizaniwa kushinda inatia moyo. Tujipange vizur na wakati wa kujiandikisha tuwahamasishe watu wajitokeze kwa wingi nadhan hiyo ndo solution ya msing. Then chama kiendelee kutoa elimu ya uraia. Na kwa kuwa Tbc imegeuka Tbccm ni vema chama kikaanzisha Tv station mapema. Inatia uchungu sana kukosa kwa jinsi watu walivyotuamin wakaonyesha mwitikio mkubwa. GOD BLESS CHADEMA. Viva forever

Ushindi sio watu ni strategy. CHADEMA mko very poor kwenye strategy !
 
Hongera Zitto kwa kuwa mkweli sana ! hiyo ndio demokrasia sio wengine humu ndani washabiki mandazii tu

Crap...

Sign In
Zitto Zuberi Kabwe
@zittokabwe
Correction on my last tweet..We have lost the election. Chadema has NOT conceded. Contemplates petition.#Igunga
34 minutes ago via Twitter for BlackBerry®
 
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter
Wadau tumepoteza Igunga ila ni ushindi tosha kwa wapiganaji kwani tumepata 45% na magamba 49% na hatukuwa na mizizi yetu miezi 2 na nusu iliyopita. Magamba tupeni nchi yetu kwani hii ndo ilikuwa ngome yenu na mizengwe ya udini, uchakachuaji, nk. bado mmevuja jasho. 2015 magamba wanasimamisha mkiristo, sasa Dr Slaa mtamuita msabato au ili awe tofauti na wa kwenu? Dhambi ya ubaguzi itawatafuna mpk mtupishe tu kwani ht CUF mlisema ni chama cha Waislamu, sasa ipo wapi hiyo??!!
 
Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter

Zitto = Nape

siyo kazi yao hawa viherehere wanaotafuta umaarufu wa jina lao kutajwa tajwa
 
shemeji kuwa na huruma bana si ndugu zako,tunaomba punguza dharau

Genious wa Vingunguti,
Pro-CDM JF mimi wengi washikaji siwezi kuleta dharau zozote.
Najua kabisa CDM wameshindwa Igunga, nikiamua kuleta kejeli humu patachafuka, ndio maana toka juzi nimekuwa msomaji tu badala ya kuchangia.
Najua saizi watu wapo kwenye hali gani sipendi niwadhiaki nawaheshimu sana washikaji zangu, wengi uwa tunapigana madongo lakini sio kwenye ili suala la Igunga.
Umesikia wewe dogo wa Vingunguti
 
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter
hiv sasa igunga kuna vurugu kubwa mno, kafumuamekata kusain
 
zitto naona siku hizi kaikimbia jf, mvuto wa jf unazidi kupungua.
Uzushi umeongezeka unashindwa kujua upi ukweli na uongo.

zitto ni kimbelembele sana. Nani kamtuma kusema kuwa chadema kimeshindwa uchaguzi? Anasema hivyo kama yeye zitto au kama chadema? Aache kukurupuka?
 
Kuweni waangalifu kuna watu wanachezea account za members wa FB na Tweet baada ya muda wanaanzisha thread, lengo ni ku pre empt mawazo ya watu tumeona kwa Nape na sasa tunaona kwa Zitto. Hizi habari ni za uongo tusubiri matokeo ya tume, Zitto can't make such a grave mistake wakati yuko halmashauri akishinikiza matokeo halali yatangazwe, imagine.
 
Nawahurumia sana wana-magwanda,mapovu yote yale yaliyokuwa yanawatoka watu wamewakamua. Siasa za kuringia watu wanaojaa kwenye mikutano ni za kizamani sana
 
Ushindi sio watu ni strategy. CHADEMA mko very poor kwenye strategy !
Nyie mna strategies gani? Kugawa khanga, kofia na t-shirts ndo strategies? Naamini wewe ni mtanzania na huna uraia wa nchi mbili km walivyo baadhi ya magamba ndo maana waliwaambia siasa uchwara na bado mkawabembeleza wasimame na nyie kudanganya ndg zetu masikini ambao wananyonywa na mfumo mbovu wa CCM. Just go around the interior places of this country, acha mambo ya vyama, watu wanapata shida sana ndg yangu, tunaposema ukombozi usiangalie Dar ukaona neema kwani unafanya kazi na unayo access ya net km hapa so maisha yako ni mazuri. Mimi kwetu sio Igunga ht mbunge wa Igunga hawezi kunisaidia lolote, ila wakati umefika watu waondoe uozo ili neema ipatikane tena. Tuliwaambini sana CUF, CCM wakaja na propaganda ni chama cha waislam, so ikabidi wakristo wakipige chini, CHADEMA tumeambiwa ni chama cha Katoliki, je ni nini wanachokitaka hawa CCM? wamewanyima watanzania wengu elimu na sasa wanawadanganya ili waendelee kuwanyonya, je huo ndo uzalendo? Unao ndg zako huko wanaokufa kwa kukosa huduma za muhimu au na wewe ni mtoto wa gamba asiyeona uchungu wengine wanapopata mateso? Mkono wa hukumu u juu yenu nyote kwani hakuna dini inayo ruhusu uonevu, dhuruma na ubaguzi. Kwa kadri Mungu aishivyo, 2015 CCM hawatasimama tena!!!!!!!!!
 
WANASIASA VIGEUGEU dunia ni zamblish usimwamini kila mwanadamu mwishowe watakugeukia! Ndio anachofanya zitto kabwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom