Zitto asikitika wanaombeza Nape

Mawaziri wa ccm na wabunge wa ccm ambao miongoni mwao ni wajumbe wa NEC na Kamati kuu wamekuwa wakitetea kwa nguvu zote suala la nyongeza ya posho. Si leo tu, tangu mkutano wa bajeti uliokwisha walisimama kidete posho, na sasa wameamua kuziongeza.

Kitendo cha nape kujitokeza kusema ccm inapinga ongezeko la posho ni baada ya kuona wananchi wa kila aina na kutoka kila kona wanapiga kelele za kutaka wabunge wasiongezewe posho, wanataka zifutwe. Katika mtiririko huo huo wa kupinga posho wafanyakazi nao walikuwa wanajiandaa kuishinikiza serikali iwaongezee kipato, nadhani ulimsikia mgaya wa tucta, na usisahau kwamba tayari chama cha walimu kilishasema sasa basi.

Kwahiyo nape hajaongea kupinga posho kwa kuwa inamtoka moyoni bali amefanya hivyo shingo upande kwa kuogopa shinikizo za wananchi wa makundi mbalimbali. Sasa anastahili kupongezwa kwa lipi? na kwa kipi?

You are exectly Right.
 
By.
Zitto Kabwe: Kwenye siasa ya nchi Kama zetu busara ya mapambano ni Jambo la msingi sana. Kama Nape wa CCM anaunga mkono hoja ya upinzani kuhusu posho, asibezwe wala kuzodolewa. Anapaswa kuungwa mono ili kuongeza Jeshi na kumkinga dhidi ya wapenda posho ndani ya chama chake. Akibezwa, siku nyingine Batak ga mono Jambo hata Kama ni jema kwa nchi. Hii ndio huitwa hekima za harakati. Nimesikitishwa sana na wanaobeza kauli ya Nape kuhusu posho za Wabunge

Zitto anasikitisha kuwa na uhusiano na Jack Zoka wa TISS (usalama wa taifa)

Zitto na Jack Zoka, tuwe macho na uhusiano huu
Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu.

Wakati Zitto anajitapa kuwa anatetea maslahi ya wananchi, mshirika wake wa chanda na pete Jack Zoka anatuhumiwa na wanasiasa na wanachi kufanya kazi ya kuwadhuru badala ya kulilinda taifa. Kama mshirika wa Zitto anadhuru wananchi ni wazi kuwa naye Zitto ana masalahi binafsi na mabaya kwa wananchi.

Maana ukitaka kujua tabia ya mtu, uliza tabia ya rafiki yake. Ni jambo la kusikitisha Zitto kuwa na uhusiano na huyu mfanyakazi wa usalama wa taifa anayedhuru watu na wakati huohuo anajidai kuwa ni mpambanaji.

Uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ulishawekwa wazi kuwa walikuwa wanawasiliana kwa simu mara kwa mara wakati wa kipindi cha uchaguzi. Tuwe macho na urafiki wao na ambao si mwema hata kidogo kwa wanasiana na wananchi wenye uchungu na taifa letu.
 
zitto mambo ya ccm hayakuhusu kaimarishe cdm yako na endelea kuibomoa nccr
zitto aibomoe nccr mageuzi hayo ndo makazi yake ya kudumu ambayo anaandali na taasisi fulani, utakuja nikumbuka mzazi, kaa humu jamvii mambo yatakuja live.
 
You are exectly Right.
Check na hii ya Zitto na Jack Zoka, tuwe macho na uhusiano huu

Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu.

Wakati Zitto anajitapa kuwa anatetea maslahi ya wananchi, mshirika wake wa chanda na pete Jack Zoka anatuhumiwa na wanasiasa na wanachi kufanya kazi ya kuwadhuru badala ya kulilinda taifa. Kama mshirika wa Zitto anadhuru wananchi ni wazi kuwa naye Zitto ana masalahi binafsi na mabaya kwa wananchi.

Maana ukitaka kujua tabia ya mtu, uliza tabia ya rafiki yake. Ni jambo la kusikitisha Zitto kuwa na uhusiano na huyu mfanyakazi wa usalama wa taifa anayedhuru watu na wakati huohuo anajidai kuwa ni mpambanaji.

Uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ulishawekwa wazi kuwa walikuwa wanawasiliana kwa simu mara kwa mara wakati wa kipindi cha uchaguzi. Tuwe macho na urafiki wao na ambao si mwema hata kidogo kwa wanasiana na wananchi wenye uchungu na taifa letu.
 
Check na hii ya Zitto na Jack Zoka, tuwe macho na uhusiano huu

Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu....

Just give him some more rope and he will hang himself; jiulize kwanini hakuzungumzia swala la mgomo wa madoctor au ishu ya Dr ulimboka ; pesa anazokula na Joka zitamuumbua muda si mrefu, mpuuzi sana huyu dogo anataka kukwamisha mapambano ya kuiokoa hii nchi.
 
angezungumzia vipi, wakati alikua anafuata na kuheshimu kanuni za bunge na tamko la spika!???
 
Sawa mh napelape,nimefurahi kuona umetoka actual identity.nakukubali ila boti tu unayosafiria ndio tatizo.
 
Back
Top Bottom