Zitto asema hoja yao iko pale pale

nakushauli fanya uchunguzi kwanza kabla ujamtuhumu mtu..usikulupuke kuandika vitu usivyovijia,, mjinga wewe

mkuuu mbona jazba tena??
Au we ni zitto nin??
Basi uniambie hii brand new range rover sport unayotamba nayo huku tabata na kuitangaza kua hatukuwez umeipate??
Kama sio ufisadi tuh
dah wadanganyika sio wafuatiliaji wa mambo kabisa,mimi huyu ni jiran yangu na nipo nae karibu huku tabata,mkiambiwa hali halisi ya huku mnakua wakali eti tufanye utafiti,,sasa mnataka tuwaambie nin??
Hizi sio propaganda au shutuma ni mambo yanayofanyika,tafakari acha kua kenge kwa kufuata safari za mamba...!
 
Hapo unamshambulia moja kwa moja kuhusu mambo yake binafsi,hizi range rover nyingi unazoziona ni used na bei yake sio ya kutisha kiivyo
ebo...!
We mdanganyika vip?
Kumshambulia kwa mambo yake binafsi vip?
Lazma atuambie kaipataje?na yeye siku zote anapinga ufisadi na ana huruma na walala hoi,sasa we unajua kuitia range rover bara baran ni itembee kwa saa sh ngapi mafuta yake?kama vile tunavohoji maige kaipataje ile nyumba ya ghorofa lazma na hawa tuwahoji pia
wote ni viongoz wa walala hoi,hiz luxuries za kupitilza wanazitoa wap??
Wanatucheza shere sio??
Kitaeleweka tuh
 
Ficha upumbavu wako ukanda upi? ukabila gani? udini upi? acha kufikiri kijingajinga yaani badala ya kujenga hoja we unaanza kukashifu watu! what a shame? Tunarudishwa nyuma na watu wasiofikiria sawasawa.Je hujui ubadhilifu unahitaji kufuatiliwa ili wabadhilifu warudishe mali zetu na wahukumiwe kwa makosa yao? Je haudhani kwamba tukipunguza ufisadi kama sio kuuondoa kabisa tutapiga hatua kubwa ya kimaendeleo? Think big buddy!!!!

amka wewe acha kudandia ngoma isiyo yako..!
Zitto doesnt fight for your povert,he fights for his own goddamned stomach..!
Anaumia coz anaona wenzake wanakula sana,nafasi hizo yeye hajazipata,
alete hoja,aisimamie serikali,aiwajibishe na kadhalika hiyo ndio kazi yake tuliyomtuma atufanyie na tumlipe mshahara halali,asingefanya ivo angekua msaliti kama walivo wasaliti wengne
kwa zitto kuonekana kinara wa haya mapambano ya ufisadi hakutuzuii sisi tunaemuona na hizi luxuries za kutia shaka tusimhoji et kisa yeye ni kinara wa kupinga ufisadi,haiwezekani
maneno yake yaendane na vitendo,maisha yake yaendane na kipato chake,vile vile mali zake ziakisi na kazi aifanyayo
hatuwez vumilia kumuona anatumbua maraha,ana over expenditure tusiseme et kisa yeye chadema,what the hell is chadema..!??
Si kilio chetu ni katiba mpya tuh saiz,mamlaka yawe mikonon mwetu,hao chadema nao wachumia tumbo tuh
hakuna watakae mfanyia mazingaombwe hapa..!
 
Ili tupige hatua ya maendeleo inabidi mawaziri waliotuhumiwa wafilisiwe mali zao zote na kuhukumiwa. Pia lazima tufikie sehemu ambapo anayechagua kuwatumikia watu ana wito kama vile wa upadre au uchungaji Usiotegemea mshahara. Lazima watu waogope kukimbilia tu siasa na ubunge.
 
Tumekuwa na wataalamu wengi katika fani mbalimbali lakini wote wamekuwa wakitamani na kukimbilia siasa ili waweze pata nyazifa mbalimbali kwa kuwa taaluma zao na utaalamu wao umekuwa na kipato duni. Kazi ngumu ila maslhi kidogo ilihali ni wataalamu. Tufanye nini ili watu wasikimbilie sana kwenda bungeni na kuacha utaalamu wao ukipotelea kwenye siasa na porojo?
 
my thinkin is too low and pathetic
sawa,so according to you great thinker what makes u to believe that chadema will change the situation?
Dont u realize that hao pia wanapigania matumbo yao?
Me nashangaaa sana watz kwa kukaa na kutemegemea kua wanasiasa watabadilisha hali ya nchi hii na kuacha jambo muhim la kufanya waamuz wa mambo ya nchi hii wawe wenyew wananch kwa kuihangaikia na kuhamishana kuhus katiba yenye muelekeo,whats the difference btn slaa na jk?lipumba n mbatia?maalim seif n mrema?
Wote walikua ccm,wote wanapigania matumbo yao?
Ktk msafara wa mamba kenge pia wamo,acha kufuata mkumbo kama kenge,et great thinker..!great thinker utakua wewe?
Wanasiasa wote ni wanafiki nan asiejua?badala ya kukaa na kuhangaikia katiba itayobadilisha muelekeo wa nchi wewe umekaa m4c..!m4c..!haya wakija kufanya madudu zaid ya haya utafanya nin?utalilia changes zingne?
U think mbowe,slaa,zitto gives a damn bout you?
Litakuchwea na naona mishipa ya shingo inakutoka kushupalia ulafi wa wenzake kwa rasilimali za wanyonge wadanganyika
chadema ni wakanda,wakabila,wadini
kama ilivokawa cuf pia,,na kuitoa ccm wafanye kazi kweli kweli
sio kirahis kama wanavofikiria..!
Dogo naona povu linakutoka ulitaka zitto atembelee masaburi yako?
 
NKADABWI kwani ripoti ya CAG imemtuhumu zitto kwa lolote? Kama una evedence kuwa zito anapokea rushwa ilete hapa acha unafiki wewe nitakutafutia dingi mmoja huko Lamu awe Ana kucameroon akupatie range rover sports ili na wewe uendeshe Kama zito huko tabata kwi! Kwi ! Kwi ! Ha ha ha!!!!!!!
 
  1. Kama wewe ni mwanamke na hujaolewa basi utazeeka peke yako ukiwa mchawi mkubwa!
  2. Kama wewe ni mwanamke na umeolewa basi mume wako atakuwa na nyumba ndogo kuepuka kero!
  3. Kama wewe ni mwanaume na hujaoa basi utakuwa na roho ya kichawi, jambazi na mwenye sura ya haya kama mwanamke anayetongozwa!
  4. Kama wewe ni mwanaume na umeoa basi utakuwa unahesabu finyango za nyama jikoni na mkeo atakuwa mwenye sura ya huzuni na kukata tamaa!

we noma endelea kumpa vidonge vyake
 
my thinkin is too low and pathetic
sawa,so according to you great thinker what makes u to believe that chadema will change the situation?
Dont u realize that hao pia wanapigania matumbo yao?
Me nashangaaa sana watz kwa kukaa na kutemegemea kua wanasiasa watabadilisha hali ya nchi hii na kuacha jambo muhim la kufanya waamuz wa mambo ya nchi hii wawe wenyew wananch kwa kuihangaikia na kuhamishana kuhus katiba yenye muelekeo,whats the difference btn slaa na jk?lipumba n mbatia?maali
 
Nadhani MKADABWI ni mmoja wa wabeba mikoba ya mafisadi, maana kiapo chake eti CCM hawawezi kutoka madarakani inashangaza kwelikweli, hajui dunia imebadilika? ikiwa Rais anaelekezwa na Bunge awafukuze mawaziri naye anatekeleza sasa kifuatacho yeye atakaposhindwa kazi wananchi watamfuata Ikulu na kumtoa kama tulivyoona nchi za Barkans, majeshi anayojivunia huwa yanabadilika, unadhani wanajeshi wadogo wanafurahi kumuona Gen. Shimbo (mnadhimu mkuu wa JWTZ) akimiliki mabilioni ya pesa wakati wao wanishi kwenye mahanga ya mabati?

small master
small mind
poor thinking capacity
don be so judgemental
don be so mediatico..!
 
maghembe. chiza, mwannri,, mkuchika wote niwatuhumiwa!!!anyway unajua jk ameshazoea kutuona sote ni wajinga au watoto! slaa alituonya kumchagua ni janga hatukusikia kwani utawala wake umejaa skendo tuu hakuna tija wala maendeleo

Kumsikia slaa tulimsikia ila hiyo tume ya uchaguzi ipo kwaajili ya boss wao na siyo taifa
 
Hivi Wana JF,
Kwa yaliyotekea kwa mawaziri wetu,lugha sahihi ya kutumiwa ni kuwa walifukuzwa uwaziri au wamejiuzulu?
Manake waligoma kujiuzulu mpaka JK alipotangaza wapya.Sasa tusija kesho kusikia mawaziri waliojiuzulu!

Hawa wamefukuzwa na si vinginevyo!
 
NKADABWI kwani ripoti ya CAG imemtuhumu zitto kwa lolote? Kama una evedence kuwa zito anapokea rushwa ilete hapa acha unafiki wewe nitakutafutia dingi mmoja huko Lamu awe Ana kucameroon akupatie range rover sports ili na wewe uendeshe Kama zito huko tabata kwi! Kwi ! Kwi ! Ha ha ha!!!!!!!

unataka hadi ripoti ya CAG ije ndio uzinduke sio??
Slaa alipokua mweka hazina katika ile safari ya Papa John paul11 1995 na baadae kuiba pesa,kufuja na kutoa makadirio pungufu gad kanisa likatumia busara kumuondoa nayeye akakimbila sisiem huko karatu kujifichia uozo wake alikaguliwa na CAG?
Na ukiritimba anaoufanya huku CCBRT kisa yeye ni shareholder mkubwa nao unataka had CAG aende??
Subiria CAG aje kukagua had kwenye masaburi yako ndio ujue kua unaibiwa mdanganyika..!
The problem of u guys u r so mediatico to the extent that u fail to know ur rights and limitations of ur freedom
naww leo ndio unamtambua CAG coz bunge linarushwa had huko kwenu ludewa sio?
Tunaanza kutumia digital mwsho wa mwaka huu,tuone jeuri hii utaipatia wap,labda usikilize TBC fm..
Umekaa zitto zitto,utakaa sana na kusubiri watu wanaish maisha yao we unaigiza...!
 
  1. Kama wewe ni mwanamke na hujaolewa basi utazeeka peke yako ukiwa mchawi mkubwa!
  2. Kama wewe ni mwanamke na umeolewa basi mume wako atakuwa na nyumba ndogo kuepuka kero!
  3. Kama wewe ni mwanaume na hujaoa basi utakuwa na roho ya kichawi, jambazi na mwenye sura ya haya kama mwanamke anayetongozwa!
  4. Kama wewe ni mwanaume na umeoa basi utakuwa unahesabu finyango za nyama jikoni na mkeo atakuwa mwenye sura ya huzuni na kukata tamaa!
me ni mwanaume na sijaoa
ila nitafurahi kama nitakuoa dada mrembo mwenye masaburi makubwa kama wewe..!
Yan nakufanya kama rais wangu slaa vile alivomuweka ndan yule dada kisha akamuoa moja kwa moja ndoa takatifuu...!
 
Back
Top Bottom