Zitto apewa mpini

Crusaders, hizo phd zenu za bible studies zimewadanganya kiasi kwamba mpaka mnakuwa kichekesho sasa. "And yes, theology is a beautified term for bible studies".

Ingawa mimi siyo mshabiki mkubwa wa mwalimu nyerere, lakini naupenda sana ule usemi wake wa..... "kupayukapayuka siyo dalili ya utu uzima"

Dr phd in bible studies anashindwa kuongoza chama kidogo tuu kama chadema, migogoro kila kukicha, crusaders wanataka kuwafukuza waislamu kwenye chama,...lakini bado Dr pdh huyu huyu anatuambia anataka kuongoza nchi.

Mkishafukuza waislamu kwenye chama chenu, na baadaye mkiongoza nchi nini kitakachofuata? kuwafukuza waislamu nchini..., au siyo?
 
give a fool enaugh rope and he will hang himself, and so it will pass in the case of zitto

si kweli zitto sio mpuuzi kiivyo.na ninaweza sema kuwa hata chadema sio wajinga kuruhusu dhahabu kama zitto ipotee naamini watasuluhisha tuu na mambo yatakaa sawa soon
 
Ukweli unauma! Kama post yangu umeisoma vizuri utaelewa nilichoandika. Kinaelimisha kwa mwenye kutaka kuelimika.

Unaweza kunambia maana ya "wapiganaji" na nchi yetu shwari haina vita?

Mh!! wewe ni Mtz? Maana neno kupigania halimaanishi tu kutoana damu na kila mtu analifahamu hilo labda kwa asiye Mtz anayejifunza kiswahili. Kuna kupigania haki, uhuru, nk. Ukiambiwa unapigania haki haimaanishi unamwaga damu!!!!!!!!!!!!!!!!! Kadhalika na uhuru!!!!!!!!!!!!! Nyerere alipigania uhuru pasipo kutoana ngeu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Umeelewa DAR ES SALAAM kama ujiitavyo? (Manake hapa utaniambia hujalewa maana hunywi pombe!!!!) Kaaaazi kwelkwel................
 
Chadema watafanya kila njia wa Isla wang'oke. Ikiwa watazidi kuwepo, dhana yao ya "wapiganaji" haitotimia, wapiganaji wa nini? kuna vita Tanzania? kwa nini hamsemi kweli tu? wapiganaji wa kusimika misalaba, Crusaders.
Dar Es Salaam, tena umesema la maana upiganaji wao wa jinsi hiyo hatuutaki, si tunataka OIC na Mahakama ya Kadhi .
 
Tunahitaji kuondoka kutoka hapa tulipo nakuachana na malumbano yasiyo na tija na kujikita kwenye ujenzi imara wa chama na kuonyesha kwa vitendo matumaini walioyonayo wananchi kuhakikisha kuwa hayapotei.
 
Chadema watafanya kila njia wa Isla wang'oke. Ikiwa watazidi kuwepo, dhana yao ya "wapiganaji" haitotimia, wapiganaji wa nini? kuna vita Tanzania? kwa nini hamsemi kweli tu? wapiganaji wa kusimika misalaba, Crusaders.
Kwa kawaida mtu unapoomba msamaha na wewe unajitahidi kujirudi kwa tabia zako zilizopelekea uombe msamaha in the first place.
It seems they were just empty words.
 
Back
Top Bottom