bigilankana
Senior Member
- Dec 15, 2009
- 144
- 4
1. Akaogopa wazee akajitoa!
2. Wangapi wamekua wenyeviti wa kamati? Nothing special here!
3. Hapo ndi anaonyesha udhaifu haswaaaa, hajui definition ya political party?
4. Tena PM, aliyoyafanya tuliokua nae naomba tu tunyamaze...aibu...na watanzania wangeua wala wasingemwamini hivyo!
5. Hapo ndipo nilipodhibitisha everyone has a price...uliona wapi umegombana na mtu afu unamshauri mwanao akaoe palepale? kesi badi iko mahakamani akataka tununue mitambo yao...
Kamati ya Kwanza kuweka taarifa hadharani na kujadiliwa na Bunge. Kamati ya kwanza katika Sekta ya madini kufikia kutekelezwa na hata kuandaliwa muswada mpya wa Madini.
Kamati ya kwanza katika sekta ya madini kuichambua sekta kwa mapana na kuwekwa katika mizania ya kitaaluma.
It is special. Au kwako wewe special ni nini? Punguza chuki