- Thread starter
- #21
Nimekwisha jibu kwamba Kama Zitto anao Mkulo ana mkono kwenye suala hilo na amekiuka utaratibu, aibue hoja za msingi za kushawishi Bunge kuona kuna haja ya kuunda Kamati ya kuchunguza suala hilo na ili Kamati ifanye kazi yake bila kuingiliwa Mkulo asimamishwe kwa muda na ikithibitika anaweza kujiuzulu. Lakini kulalama kwenye vyombo vya habari tu hakusaidii Mkulo kujiuzulu. Zaidi tunaanza kuhisi kwamba Zitto naye ana maslahi binafsi kwenye shirika hilo kama anavyodai Mkulo. Kwa hiyo tutaendelea kusikiliza mipasho ya Zitto vs Mkulo wakati hakuna hatua inayochukuliwa. Kama huamini angalia kwenye tovuti ya Mwananchi ni mipasho tu ya wawilki hao.Kwa manufa ya wale tusiojua tartibu au kama wewe ndio Ungekuwa zitto
- Tuelezee na tufafnulie nini ungefanya ?