ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

Ngoma nzito kujua nani zaidi, tuanzishe akaunti ya kuwapigia kura kuondoa mzizi wa fitina

we kweli ni mzembe wa kuchambua mambo huwezi ukamfananisha Dr.Slaa na zitto. Endelelea kumtia ujinga huyu dogo at the end of time aote kiburi na aagukie pua na utakuwa mwisho wake wa kungara. Zitto bado anaitajikukaa chini ya Dr. Slaa na awe mnyenyekev ili baada ya Dr atakuwa amekomaa.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

mmeshaanza kumjaza ujinga huyu dogo asipo angalia ataangukia pua.
 
Kama unampenda sana Zitto, nenda kanywe nae chai. Habari za urais huu sio muda wake. Chadema wana utaratibu wa kumpata mgombea. Nakushauri fatilia ili uujue huo utaratibu then upeleke mawazo yako huko.

zitto hanywi chai. Breakfast yake ni bia na mkate.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

usalama at work.
Naomba nichukue fursa kupongeza utafiti huu.Hakika tutapiga campaign with usalama support.

Enyi watu wa usalama wala msipate tabu kumpambapamba,mshahurini afanye vema wapiga kura ndiyo sisi..
Mwisho mchezo huu ukiendelea kwa stahili hii,profile yake mtaiharibu,tuachieni wananchi tufanye maamuzi.
 
Mazee kusoma huwezi hata picha unashindwa kuona wanavyo fanya huko operation Sangara?
Au wewe kipofu inahitaji kupapasa? Wale ni level ingine angalia wanavyo kubalika kwa sera zao na watu wanavyo jaa kwenye mikutano wanayo fanya watu wanakuja pasipo kusombwa na malori au DCM au chai harage na wala watu wanao hudhuria hawapewi ugua pole kama kofia, khanga na flanaz hata buku 2000 hawapewi wanakuja kwa mapenzi yao.

Alikuwa New York anazoa takataka Mkuu utakuwa unamonea msamehe.
 
Sidhani kama kweli hii hoja inatolewa na mwana CDM. Mjuzi wa mambo kweli huwezi kumlinganisha Zitto na Slaa. Slaa ni level ya Nyere wakati zito ndiyo kwanza anajifunza siasa. Tuache hayo yote. Slaa ni Rais ajaye.
 
virusi at work so msijaribu ku chafua chama makini naomba ma g thinker kutochangia hoja nyepesi kama hii
 
kwakweli kijana ni mzuri, hata SILAA naye anatisha ndio maana ukamfananishia. kwakweli CDM kuna majembe ya JUKWAAANI yanayo tupa MAJARIBU ya kuonja MABADILIKO.

LET US SUPPORT CDM IN ANY HOW
 
Back
Top Bottom