ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari. 1 Wakorinthto 15:41
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Zito anakubalika Zaidi kwa wanaccm kuliko chama kingine chochote , na kama mpango wa kikwete ukifanikiwa ni kumsaidia zitto kupata nafasi ya kugombea urais baada ya yeye kumaliza muda wake.
 
Kama viongozi wa Chadema wote wameweza kuweka sera ya Katiba mpya kwenye ilani yao, ambayo Kikwete na wenzake wameona ni ya manufaa kwa Taifa wanaitekeleza. Napata taabu kidogo kujua sera za Zitto kama Zitto na Slaa kama Slaa ila naziona sera za Chadema. labda kama kuna mtu anaziona sera za Zitto anishirikishe

Alafu huyo Willie ndio alikua anautaka ubunge wa E.Africa,kweli kazi ipo!
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
Zitto ni asset ya chama kwa sasa na baadaye. Anatakiwa atulie na aache papara otherwise atapoteza mapema credibility yake kwa wananchi.
 
Huyu anataka kutuöndoa ktk move,kuwa magamba shurti uwa na akili ya maiti.zitto bado sana
tabia kama hizi utazikuta kwa magamba kwasababu hawana uwezo wa kufikiri hufikiri kama alivyosema masaburi.huna jipya.wewe sawasaw na wendawazimu wanaovaa kijani bila aibu.
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!

Hapa sijui hata unataka kuzungumza nini. Unasema tusizungumzie majina lakini tuzungumzie policies zao. Where do you draw a line between the two???? Their names and their productive or unproductiove policies are inseparable!! Comparisons n contasts go with their names as well as policies.

That comment of yours was very low, we both know it.
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!
Kwani yote yanayofanyika kuanzia mambo ya EPA mpaka huu ufisadi wa mawizara sio wao wameyafumua humo walikokuwa wanaficha baba zenu
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
Majibu yanapatikana humu. Www.adotanzania.blogspot.com
 
Zitto anakubalika zaidi kwenye jamii ya Kitanzania kwa vijana kwa sehemu kubwa na baadhi ya wazee..Slaa anakubalika kwa baadhi ya vijana wa Kaskazini pamoja na wazee wa pande hizo.
 
Acha choko-choko wewe, kwa sasa CDM ime-concentrate kwenye M4C! Kampeni za kutafuta mgombea urais kupitia CDM bado hazijaaanza. Subir muda wake ufike, kwa sasa tunahitaji kushirikiaana na kuongeza nguvu kukijenga chama hasa sehemu za vijijini.

Ukiona Rejao ame-LIKE basi hakuna haja ya kuendelea kuchangia hiyo mada! ni Upuuzi
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu sana! 'kukubalika', 'mvuto'... makosa yaleyale ya visifa vilivyompamba kikwete kabla hajawa rais ndo hayohayo yanaanza kusambazwa leo tena!!! Haya kazi kwenu wataalamu wa kukubalika na kutokubalika, mvuto na mivutano!!!
 
Zitto ni zaidi ya mbunge,Zitto ni zaidi ya waziri,Zitto ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu na niazina ya taifa letu.Slaa ampumzike,hana mvuto kwa sasa
Hivi na wewe ni CDM? Pendekezo lako kalitoe kule kwenye vikao vya chama.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

pambaf wote wapo CDM inakuuma nini? sio kazi yako kulinganisha viongozi wetu wala usiituingile kabisa unataka tuhamishe concentration kutoka kwenye hiyo serikali inayoongozwa na vichwa nazi ?
 
Zitto ni asset ya chama kwa sasa na baadaye. Anatakiwa atulie na aache papara otherwise atapoteza mapema credibility yake kwa wananchi.

unataka atulie vp?Zitto endelea kuwapiga na hoja zako zilizojaa utaifa.,Wanaokuambia ww haujatulia wamekalilishwa na saidi kubenea wa mwanahalisi.
 
Ungelisaidia Taifa lako kwa kuja na hoja nini kifanyike ili kuliokoa Taifa linaloelekea kufilisika kutokana na kukithiri kwa ufujaji wa rasilimali za nchi. Kama ulifuatilia vizuri taarifa za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali mimi, wewe, jamaa zetu na watoto wetu hadi 30/6/2010 kila mmoja wetu anadaiwa TShs. 335,000/=

Hiyo ni hadi 30/6/2010 leo hii itakuwa labda 500,000 kila mmoja wetu anadaiwa kutokana na deni la Taifa.

Hujui hata kinachoendelea duniani,
wagiriki wana madeni, spain hali mbaya na manchi kibao ya ulaya maji shingoni now! kenya tu majirani zetu wana madeni kuliko tanzania , ikiwa hao eu na wengine ndio wafadhili wakuu wetu sasa itashindikana vipi kwa ombaomba kama TZ kukosa madeni.

Acheni kuwapotosha watu nyie

angalia hapa:

Greek
public debt : $374,758,904,110
public debt per person: $34,103.09

Tanzaniapublic debt : $4,971,232,877
public debt per person: $111.20

Kenyapublic debt: $14,962,191,781
public debt per person: $369.50

source: World debt comparison: The global debt clock | The Economist
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Atakuwa hajatimiza miaka 40, kama kweli alizaliwa 1976. Hata hivyo, si kila mzalendo atakuwa Rais katika nchi hii. Wapo watu wengi, pengine wazalendo hata zaidi ya Zitto, Slaa, Mbowe, n.k, lakini hawajulikani. Kwa sasa, nashauri, tupiganie mambo ya msingi kuliko kufikiri nani atakuwa Rais. Nionavyo, wabunge au mawaziri wazalendo wanatakiwa pia, hivyo si lazima Zitto au Slaa wawe marais; kwani hata wakibaki wabunge au mawaziri wataendelea kutoa mchango wao.

Tanzania itakuwepo hata baada ya Zitto na Slaa.
 
Back
Top Bottom