MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Tangu kuanza sakata la Posho na Zitto, Zitto na Posho, Zitto na Posho na Makinda... bado sijasikia msimamo mzima wa CDM, kiasi kwamba wengine hapa waliwahi kumshutumu Zitto kwa kujitafutia umaarufu kwa sababu msimamo wake wa kususia posho ni wake peke yake. Msimamo wa CDM kama chama uko wapi? Ninawaomba wapinzani wote, lakini hasa CDM wasimwachie Zitto pekee vita hii kama kweli wanataka kuikomboa Tanzania na Watanzania. HONGERA ZITTO KWA KUONESHA NJIA.Zitto is damn right! na huu ni mtego kwa CCM kwani CHADEMA wkwa upande mwingine wanajenga hoja pia ya kuendelea kujipatia umaarufu...Reality na politics ndani yake! safi sana ZITTO!