Zitto amwambia Makinda nipo tayari kuvua dagaa kijijini kwetu

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Nimemsikia Zitto Kabwe akiongea na BBC. Anasema msimamo wake upo palepale hatasaini karatasi ya mahudhurio, hatapokea posho na yupo tayari kurudi kijijini kwake kuvua dagaa baada ya kufukuzwa ubunge.

My take: Kwa hali ilivyo sasa ni wazi msimamo huu unaelekea kuungwa mkono na wananchi wengi. Najiuliza sana sipati jibu, mimi ambaye mshahara wangu unaisha baada ya siku 10 hizo bilioni 900 zinapotea kwa ajili ya posho zinanifikia kweli? Tafakari
 
Maskini Zitto.
Anatetea matumizi mabaya ya fedha za serikali lakini shukrani yake ni kuambiwa ooh eti mara anajuitafutia umaarufu etc etc.
Mimi naona sasa angejikalia kimya.

Serikali iendelee kuzitafuna hela kadri itakavyo. Mafisadi waendelee kuikomba hii nchi hadi ifilisike na kuwa a failed state. Wabunge wajiongezee salary na wajilipe TSHS 50 Million a month.

Sitting allowances ziongezwe toka 70K to 500K. Per diem yao iwe 500K. Speaker Makinda aongezwe mshahara kuwa 100 Million a month!!
Nchi iendelee kutafunwa na kutafunika weeeeeeeeeeeeee hadi icollapse kabisaaaaaaaaaa chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Bankrupt!!

Labda baada ya hapo ndio wabongo na akina Nape et al tutatia akili sasa na ule mgando wa akili yetu utayeyuka na kuacha ushabiki wa vyama na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama.
 
Nimemsikia Zitto Kabwe akiongea na BBC. Anasema msimamo wake upo palepale hatasaini karatasi ya mahudhurio, hatapokea posho na yupo tayari kurudi kijijini kwake kuvua dagaa baada ya kufukuzwa ubunge. My take: Kwa hali ilivyo sasa ni wazi msimamo huu unaelekea kuungwa mkono na wananchi wengi. Najiuliza sana sipati jibu, mimi ambaye mshahara wangu unaisha baada ya siku 10 hizo bilioni 900 zinapotea kwa ajili ya posho zinanifikia kweli? Tafakari
Safi sana Zitto, bora punda afe lakini mzigo ufike!
 
kwani ukimwambia mwajiri wako hutaki Per diem atakufukuza kazi? Huyu mama yetu atalipeleka bunge kubaya
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Nimemsikia Zitto Kabwe akiongea na BBC. Anasema msimamo wake upo palepale hatasaini karatasi ya mahudhurio, hatapokea posho na yupo tayari kurudi kijijini kwake kuvua dagaa baada ya kufukuzwa ubunge. My take: Kwa hali ilivyo sasa ni wazi msimamo huu unaelekea kuungwa mkono na wananchi wengi. Najiuliza sana sipati jibu, mimi ambaye mshahara wangu unaisha baada ya siku 10 hizo bilioni 900 zinapotea kwa ajili ya posho zinanifikia kweli? Tafakari
Namuunga mkono zito na hoja yake.Nchi hii inahitaji watu kama zito.
 
Shikilia msimamo huhuo kamanda zito tuko nyuma yako. tuko tayari kuunana na wanaharakati ili tupate sahihi za wazalendo zaid ya 5,000,000 wanaopinga malipo ya posho za vikao
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Kabwe.JPG

Huyo ndiyo Zitto Kabwe wakati akiapa.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
zitto saini ulikuwepo bungeni lakini usipokee posho... mwisho wa vikao hivi nenda dodoma na viongozi wa kigoma developmenta association wakabidhi kwa mbwembwe na ngoma uone kama wao hawataiga
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa
 
zito anajaribu kuonesha mfano... wabunge wengine wafate huu mfano...
 
Maskini Zitto!
Anatetea matumizi mabaya ya fedha za serikali lakini shukrani yake ni kuambiwa ooh eti mara anajuitafutia umaarufu etc etc.
Mimi naona sasa angejikalia kimya. Serikali iendelee kuzitafuna hela kadri itakavyo. Mafisadi waendelee kuikomba hii nchi hadi ifilisike na kuwa a failed state! Wabunge wajiongezee salary na wajilipe TSHS 50 Million a month. Sitting allowances ziongezwe toka 70K to 500K. Per diem yao iwe 500K. Speaker Makinda aongezwe mshahara kuwa 100 Million a month!!
Nchi iendelee kutafunwa na kutafunika weeeeeeeeeeeeee hadi icollapse kabisaaaaaaaaaa chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Bankrupt!! Labda baada ya hapo ndio wabongo na akina Nape et al tutatia akili sasa na ule mgando wa akili yetu utayeyuka na kuacha ushabiki wa vyama na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama.

Nakuunga mkono 1000% waache wajigaie mpaka ziishe kabisa.
 
zitto saini ulikuwepo bungeni lakini usipokee posho... mwisho wa vikao hivi nenda dodoma na viongozi wa kigoma developmenta association wakabidhi kwa mbwembwe na ngoma uone kama wao hawataiga
Watamuingizia kwenye akaunti yake kwa lazima!
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa
afadhali yeye ametajirika na kuacha, wengine hawajaacha

safi sana zitto kwa kuacha ufisadi.... wakale wanasema mjinga kwa kwenda, kwa kurudi anajua pabaya na pazuri
 
Mzee Sitta we miss you, man!!

Hapana!!!

Ni wakati wa Sitta ndo mambo mengi ya kipumbavu yalipitishwa Bungeni. Sitta alikuwa anajenga sana umaarufu kwa wabunge na alifikia hatua ya kusema "....Wabunge lazima waishi vizuri".

Sitta alitaka kuonyesha kwamba pamoja na kukosa U-waziri mkuu, bado alikuwa na empire nyingine.

Kasoro kubwa ya nchi hii ni pale Bunge lilipopwewa madaraka ya kujipangia mishahara na marupurupu. Where on earth?
 
Zitto Muongo Mkubwa Umeshatajirika Kwa Pesa za Kifisadi, na zile ulizokomba katika Uenyekiti wa Kamati Kubwa ulioiongoza Bunge lililopita Mbona hujazirejesha, wacha siasa za Kitoto weee Watu Wanakuchekaaaaaaa

Whats ur point in this??? Ziendelee kutoka hizo posho au zisitishwe??? Na kama zitaendelea kutoka wewe utafaidika vp??? Zito is trying to be loyal to us....Even if alishawahi kuzila it doesnt mean aendelee au waendelee kuzila......Its the hell lot of money kama zitaelekezwa kwenye shughuli zingine..Sometimes tuache ushabiki wa kitoto n try to grow up even if u r not...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom