Zitto amshauri Wema kuhusu Maisha!

Zito kuongea/kukutana na Wema nayo ni habari?....mbona mie nilikutana na mbunge wangu wa Moshi hapa Dar na haikuwa habari?(real, kwasababu wabunge wetu hawapo majimboni wapo town).

This isn't JF standards real, tukikosa cha kuchangia basi angalau tuweke picha zetu tutaonekana....its a Jamii Forums, not "Interpersonal Forums".

Heri PENGO/MWANYA kuliko JINO BOVU
 
Kama kweli alikuwa anamshauri wasingekana,halafu angemfata nyumbani si ingekuwa vizuri zaidi? mi naona mheshimiwa alikuwa anatupa ndoano,halafu zile lips na macho ya wema pale ushauri tu bila kujaribu bahati mh!
 
Kama kweli alikuwa anamshauri wasingekana,halafu angemfata nyumbani si ingekuwa vizuri zaidi? mi naona mheshimiwa alikuwa anatupa ndoano,halafu zile lips na macho ya wema pale ushauri tu bila kujaribu bahati mh!
__________________

mkuu legatege hawa hawamjui zito vizuri wamuulize yule bint aliekuwa gfriend wake chuo akawa anamsaidia mpaka mitihani wamemaliza akpewa kila mtu achukue chake mahusiano yalikuwa shulen sasa tutafute maisha .......yah kweli yawezekana alikuwa anampa nasaha si wakapeane akiwa na mamayake asikie kweli mh kaamua kumsaidia....acheni hizo
 
Tupo pamoja mkuu! Sasa huu ni udaku apeleke kwa mhariri wa KIU AU IJUMAA! thanks

y sillaa yalianzia na ijumaa nayo udaku..............msiogope kuchangia mada kwa sababu anakujua unatumia jina gani........be strong JF
 
Back
Top Bottom