Zitto amshauri Wema kuhusu Maisha!

I dont see anything wrong kama Zitto alikutana na Wema wakawa na mazungumzo ya mda mrefu. What is wrong with that? Kwani ukiwa mbunge..jamani huruhusiwi kuwa na social life? Hata kama angekuwa anaomba ammegee..whats wrong with that? Jamani after all Zitto is just a young man with human needs just like me and you. Unajua mimi nimeona ni breaking news..nikajua labda mheshimiwa amefumaniwa au something related to that..

I really dont see anything wrong with this. Hii habari huwezi kuiita udaku wala siasa..kifupi haina substance yoyote...maana Zitto kukutana na Wema wakafanya maongezi..hakuna ubaya. Sema tuu basi..people want to create news/attention even where it doesnt exist.

Mheshimiwa Zitto..wewe kama unaomba umegewe..Kila lakheri mkuu...ila..ushauri wangu: Play it safe!

Masanja,

thats the thing..ndiyo maana kuna wachangiaji wanasema hii thread imekaa kiudaku - tabloid stuff
 
Sooo?? What's this got to do with us?

jamani KWANI ZITTO SI RIJALI???MBONA MNASEMEA MOYO....MARA UDAKU YEYE NANI ASHINDWE KUTOA USHAURI....
 
Join Date: Tue Oct 2007
Location: Lahore
Posts: 2,095
Thanks: 489
Thanked 1,052 Times in 642 Posts
Rep Power: 66

Credits: 404,485,199

Re: Zitto amshauri Wema kuhusu Maisha!

--------------------------------------------------------------------------------

Pdidy, naona umeamua kuhamishia Globalpublishers JF!
__________________

MKUU MASANILO WATU WAMESHINDWA KUNIELEWA MBONA MI NIMEFURAHI SANA NA ALICHOFANYA NA NDIO MAANA MWISHONI NIKAMPONGEZA NA KUTOA USHAURI WANGAPI WAHESHIMIWA WANAKAA KIMYA BILA KUTOA MSAADA YOYOTE...ZITTO TUNAKUPONGEZA NA KUTOKANA NA USHAURI WAKO TOKA PALE CHUO KIKUU......,NIKAONA UNAWEZA KSAIDIA WENGI TU KWA NJIA HIYO BADALA YA KUKAA NA MMOJA MMOJA....NAOMBA MNIELEWE ZITTO NDUGU YANGU KAKA YANGU...NA RAFIKI WANGU MKUBWA....,
 
Join Date: Thu Nov 2007
Posts: 501
Thanks: 183
Thanked 142 Times in 93 Posts
Rep Power: 23

Habari zako nyingi mkuu unazitoa Globalpublishers ambazo wengi twaziona ni udaku!
 
Jamani hata wakubwa wanakoseaga...msemeni tu aelewe asitumie ukubwa wake vibaya. Hii ni full udaku haina ubishi. Mzee umeteleza kuwa mstaarabu kama alivyofanya Lowasa maana wengi tunaona haya kukusema hadharani peleka hii kule kwenye kona ya mahaba au utani, kuteleza si kuanguka usisubiri kuumbuliwa.
 
MKUU MASANILO WATU WAMESHINDWA KUNIELEWA MBONA MI NIMEFURAHI SANA NA ALICHOFANYA NA NDIO MAANA MWISHONI NIKAMPONGEZA NA KUTOA USHAURI WANGAPI WAHESHIMIWA WANAKAA KIMYA BILA KUTOA MSAADA YOYOTE...ZITTO TUNAKUPONGEZA NA KUTOKANA NA USHAURI WAKO TOKA PALE CHUO KIKUU......,NIKAONA UNAWEZA KSAIDIA WENGI TU KWA NJIA HIYO BADALA YA KUKAA NA MMOJA MMOJA....NAOMBA MNIELEWE ZITTO NDUGU YANGU KAKA YANGU...NA RAFIKI WANGU MKUBWA....,[/QUOTE]

tatizo kwanza huna hakika kama kweli alikuwa akimpa ushauri huyo bibie, pili hukusema kama zitto mwenyewe kathibitisha kufanya kazi hii, tatu umefikia uamuzi kwa kusikiliza maneno ya mhuduma ambaye alishindwa hata kunukuu neno moja alilosikia. Nne wema mwenyewe kakataa kuwepo eneo hilo jambo ambalo linaashiria uzushi wa habari yako. Tano na MUHIMU hapa JF, hatuoni umuhimu wa ulichotuletea kwa maendeleo ya taifa hili, hiyo ni staili ya udaku pure ambao kwao hutunga headline kabla ya kupata story, source anatafutwa kukanusha au kukubali. Badilika mtu mzima, mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe. URAFIKI NA UDUGU WENU HAUTUHUSU HUMU NDANI.
 
Habari zako nyingi mkuu unazitoa Globalpublishers ambazo wengi twaziona ni udaku!

WACHA BWANA NA WEWE UNAITAJI AJIRA NINI ???UNAKARIBISHWA
 
Habari zako nyingi mkuu unazitoa Globalpublishers ambazo wengi twaziona ni udaku!

WACHA BWANA NA WEWE UNAITAJI AJIRA NINI ???UNAKARIBISHWA

Kamanda kumbe unalipwa? Mimi ni mjasilia mali sihitaji ajira! Thank you!
 
Kamanda kumbe unalipwa? Mimi ni mjasilia mali sihitaji ajira! Thank you!
MI MJASIRIAMALI NA MUAJIRIWA UNAKARIBISHWA KUFANYA YOTE MKUU
 
Kasoro wizi tu sijui...labda unawezanisaidia kwa hili..??
Umeenda kutoa damu temeke lakini????????????wametangaza wanaitaji damu mkuu
 
Kamanda kumbe unalipwa? Mimi ni mjasilia mali sihitaji ajira! Thank you!
MI MJASIRIAMALI NA MUAJIRIWA UNAKARIBISHWA KUFANYA YOTE MKUU

No Thank you! Keep on copying and pasting from Shigongo's Tabloids!
 
Umeenda kutoa damu temeke lakini????????????wametangaza wanaitaji damu mkuu
 
Damu anahitaji Wema ama Zitto....unachanganya madawa hapa uko sober kweli mpwa?

HAPANA MPWA NAANDIKA HUKU NAANGALIA ISSUE YA MBAGALA NIKAONA NIKUSHIRIKISHE....NAFIKIRI KILA MTANZANIA ANAYO HAKI YA KUTOA DAMU...
 
Haya bwana ....nitajitolea damu sina noma mie maana hata vipimo huwa sikimbii!!
 
Haya bwana ....nitajitolea damu sina noma mie maana hata vipimo huwa sikimbii!!
umekuwa PFUNKY.....we makamanda siku zote tunawaamini...kaka kila la kheri usiku mwema....kama mshabiki wa arsenal tujipe pole....
 
Mimi Chelsea mazee Shemejio Belinda yeye Man U!! Respect mkuu!
 
Hivyo kumegwa ina maana gani haswa? Je wanawake peke yao ndio wanamegwa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom