Wasalaam, JF.
Mh. Zitto Kabwe, mbunge machachari lakini very controversial sometimes, he moves mountains and he breaks new gounds and raises good debates on any topic and wins sometimes support of the public lakini wakati mwingine sijui has quick reverse ... Mimi kwa kweli nilimpongeza Mh. Zitto kwa motion yake ya kuwaadabisha mawaziri wafuja pesa za umma. Kwakweli hatua yake ya kutafuta wabunge zaidi ya 70 kwakweli ni hitoria katika nchi hii.....Mawaziri waliotakiwa kijiuzulu ni Maige, Ngeleja, Mkulo, Nundu, Mponda, Mkuchika, Magembe and Chami au Waziri Mkuu kwa mantiki ya hoja ile.
Waliojiuzungu au kufukuzwa ni Maige, Ngeleja, Nundu, Mponda and Mkulo.....Is this all ? we expected to hear Zitto talk about what next ....kwa lugha nyingine kama hawatapelekwa mahakamani kwa kweli sisi wananchi sasa tutashindwa kujua hasa mantiki ya report ya CAG na Kamati za Bunge akiwepo Zitto.
Cha kwashangaza Zitto Kabwe, amewapongeza Mh. Mkuchika na Prof. Magembe kurudia kwenye Baraza Jipya eti kwa sababu tu wao hawakujitetea.....kwahiyo Mh. Zitto kwa lugha nyingine ni kama vile hana genuine reasons for his private motion....he does not work the talk.....He is therefore a very dangerous politician citizens need to be very careful for the likes of ZITTO.....
Ni kama vile alikuwa na personal issues with the ministers walioachwa sijui ni kwa sababu wengi wao ni vijana kama yeye ambao pengine wanawezakuwa na dreams za kugombea urais baadae kama anavyotaka Zitto au kwa sababu pengine wote ni vijana kwahivyo Mh. Zitto hataki au anawivu wenzake wataonekana wana PESA nyingi kuliko yeye.....ujua vijana wanahulka kushinda with fellow youth for a number of reasons....mjini ni sifa sana kwa kijana kuwa na pesa as most rich young person....is big credit.... Is ZITTO playing these kinds of games with the others.....
Kwa kweli mimi wakati mwingine nashindwa kumwamini Zitto difficult to tell whether is a genuine politician au ni populist tu.....
Karibuni kwenye mjadala....