Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

Chadema will be better off kama itakuwa na wabunge wachache ambao ni committed to the party kuliko kuwa na wabunge wengi wa sampuli ya Shibuda!!
 
...eti nilisikia ukioa changudoa huwa anatulia sana kwenye ndoa. Mi sina uhakika juu ya ukweli wake.
 
Huko mna madaraka ya kuwapa? Ama ubalozi?
Possibility ya kupata ridhaa ni 83%. Plus NCCR ni wajamaa, tunamuhitaji kafulila, asiende CDM.

That one too, nowadays balozi ni ceremonial poisiton.
 
Kafulila kweli sina shida naye na mawazo yake huwa nayakubali,udhaifu wake ni kwamba hana uwezo wa kusimamia maamuzi yake yeye mwenyewe labda sasa chdm wamjengee uwezo huo ila natoa precoution kwa chadema kuwa makini kwani kwa sasa CCM wako strategically kuidhoofisha chadema na adui wa kukua humfahamu.
 
Heheheeeeee! CDM wasije wakafanya kosa kama ilo la kuingiza kirusi ndani ya chama chao. Aende zake mwanakwenda kwani alilewa sifa za kijinga na akajisahau kufikiri kama binadamu na badala yake akakubali mtu mwingine afikiri kwa niaba yake. matokeo yake amekua akikokotwa kama kondooo.

Well,whatever the case,Kafulila ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana kifikra....japo kwa hakika ana matatizo makubwa sana,may be akipata mtu wa kumpatia ushauri nasaha tena makini anaweza kuwa kiongozi mzuri...
 
katika bunge akishilikiana na hamad rashid alimshambulia sana mbowe kwa kutowaingiza kt kambi rasmi ya upinzani, uyu ana aibu kurudi cdm kwa maneno yake dhidi ya mwenyekiti.ila kwa kuwa ni mtanzania na alifanya kosa basi aombe radhi cdm ili asimamishwe tena katika jimbo lake la kigoma kusini. Lakini lazima ashike adabu yake.

Halafu wote wanatimuliwa na vyama vyao !!!!!!
 
Atatulia kashajifunza kitu,so ajiunge na wapambanaji

Kumpoteza Kafulila Bungeni ni pengo kubwa kwa upinzani. Kafulila bafo kijana na mjenga hoja mzuri tu, nadhani he is too ambitious kuhakikisha malengo yake yanafanikiwa, na huo ni udhaifu pia kwa upande mwingine. Akitulia na kupata mentor Kafulila ni jembe.
Sioni taabu DK kurudi CDM na hata kupewa nafasi kutetea Ubunge kny ya CDM
 
mkuu uko very correct, ata kama kafulila ataomba na kurudi cdm na ata kugombea kwa tiketi ya cdm, fine lkn lazima wajue (zito pia kafulila) ajenda zao ziko bayana na watanzania tunawafahamu na mipango yao iko bayana kabisa, zito kabwe ajirekebishe mwenendo wake ambao hatukubaliani nao, aswa yeye km kiongozi wa cdm vinginevyo post ya unaibu katibu mkuu wa chama haiache, kujiingiza tu ktk mambo ya nccr ata kuwajulisha polisi kilichokuwa kikijiri ktk kikao cha nccr by any means hakikuwa sahihi ana masilahi yapi uko NCCR, asa kwa kiongozi wa cdm mwenye post ya unaibu katibu mkuu wa chama cdm, bwana zito be serious tunaiunga mkono chadema kwa kuwa tunaamini ukombozi wetu uko uko, sasa wewe na NCCR kulikoni?? viongozi wa chadema muwe serious o/w mjue uko mbele ya safari hatutataka
kafulila bado ni kijana mdogo apewe nafasi nyingine.
 
Mkuu MTM,

Sidhani kama kuna mtu anasema kuwa Mbatia yuko sahihi au ni kiongozi mzuri. Pamoja na umuhimu wake, political vibrancy kwenye vyama bado inahitaji kupelekwa kwa akili na busara badala ya jaziba.

Hata kama Kafulila alikuwa sahihi, kilichowazi ni kwamba ameshindwa kuchanga karata zake vizuri. Ni sawa na kupeleka jeshi zuri sana vitani ila ukishindwa mbinu za kulisaidia lipambane na adui...Madhara yake ni kama hayo.....mortalities and causalities ambazo si za lazima!!

gENERAL... in politics there is no wrong way!!!

Its a matter of being in the right side of the see-saw when things turn ugly.... I can bet my nuts kwamba NCCR to the core are not happy, how on earth mgombea urais wa chama leo anatimuliwa kirahisi for making a phone call and questioning chairman?? that tells alot about internal party vetting and controls.. its such a revelation that CCM is way a million better by being tolerant (naimagine issue ya magamba ingekua NCCR; CHADEMA are way a million better (how they tolerated Zitto)... we need to learn and mature

Mbatia to me is a Tanzania "Comical Ali".... threatening CHADEMA, speaking with passion as if his mouth is held by screws and nuts made of platimun but nothing tangible comes out of him, he just dwarfed his brains (dont get me wrong, Mbatia was smart sana kabla ya upupu wa NCCR), he has become a puppet and a muppet at the same time

I am sorry to see these small parties behaving like small sultanates in our beloved country

WITH PARTIES LIKE NCCR AND PEOPLE LIKE MBATIA, I WOULD SAY NOT YET UHURU
 
mkuu uko very correct, ata kama kafulila ataomba na kurudi cdm na ata kugombea kwa tiketi ya cdm, fine lkn lazima wajue (zito pia kafulila) ajenda zao ziko bayana na watanzania tunawafahamu na mipango yao iko bayana kabisa, zito kabwe ajirekebishe mwenendo wake ambao hatukubaliani nao, aswa yeye km kiongozi wa cdm vinginevyo post ya unaibu katibu mkuu wa chama haiache, kujiingiza tu ktk mambo ya nccr ata kuwajulisha polisi kilichokuwa kikijiri ktk kikao cha nccr by any means hakikuwa sahihi ana masilahi yapi uko NCCR, asa kwa kiongozi wa cdm mwenye post ya unaibu katibu mkuu wa chama cdm, bwana zito be serious tunaiunga mkono chadema kwa kuwa tunaamini ukombozi wetu uko uko, sasa wewe na NCCR kulikoni?? viongozi wa chadema muwe serious o/w mjue uko mbele ya safari hatutataka

hEBU TUJIULIZA, KATI YA KAFULILA NA SHIBUDA YUPI AT LEAST ANA COMMON INTEREST NA CHADEMA??
 
katika bunge akishilikiana na hamad rashid alimshambulia sana mbowe kwa kutowaingiza kt kambi rasmi ya upinzani, uyu ana aibu kurudi cdm kwa maneno yake dhidi ya mwenyekiti.ila kwa kuwa ni mtanzania na alifanya kosa basi aombe radhi cdm ili asimamishwe tena katika jimbo lake la kigoma kusini. Lakini lazima ashike adabu yake.

kwenye siasa there is no permanent enemy,
 
CHADEMA haimfai Kafulila tena wala Kafulila mwenyewe haifai. Sehemu inayomfaa Kafulila ni kwao yaani CCM. CHADEMA wangemshiti ili aone papara na tamaa visivyolipa. Zitto hana jinsi bali kumkaribisha mshirika wake waliyekuwa wamepanga naye ima kuivuruga CHADEMA au kupora uongozi kama Kafulila alivyojaribu NCCR akachemsha.
 
gENERAL... in politics there is no wrong way!!!

Its a matter of being in the right side of the see-saw when things turn ugly.... I can bet my nuts kwamba NCCR to the core are not happy, how on earth mgombea urais wa chama leo anatimuliwa kirahisi for making a phone call and questioning chairman?? that tells alot about internal party vetting and controls.. its such a revelation that CCM is way a million better by being tolerant (naimagine issue ya magamba ingekua NCCR; CHADEMA are way a million better (how they tolerated Zitto)... we need to learn and mature

Mbatia to me is a Tanzania "Comical Ali".... threatening CHADEMA, speaking with passion as if his mouth is held by screws and nuts made of platimun but nothing tangible comes out of him, he just dwarfed his brains (dont get me wrong, Mbatia was smart sana kabla ya upupu wa NCCR), he has become a puppet and a muppet at the same time

I am sorry to see these small parties behaving like small sultanates in our beloved country

WITH PARTIES LIKE NCCR AND PEOPLE LIKE MBATIA, I WOULD SAY NOT YET UHURU

Kwenye suala la kuvumiliana na kuwa na kifua cha kumeza challenges kutoka kwa wanachama wengine kwenye chama nakuunga mkono kabisa....!!

Katika hili, NCCR imendondoka zaidi hata kuliko Kafulila...Akipata chama kingine anaweza kwenda kwao akarudi na ubunge wakati kwa NCCR ndo basi tena....!!
 
sijui kafulila akihamia chama kingine atataka apewe nafasi ya kugombea ubunge jimbo
"ataloliacha wazi"? akifanya hivyoi ni bora arekebishe kabisa kauli yake kwamba yeye "alikuwa"
babu kubwa kuliko "aliyekuwa" mwenyekiti wake wa taifa kwa sababu mwenyekiti wake hakuwa mbunge.
pole kafulila. dah!
 
Namshauri Kafulila ajiunge na TLP maana anaonekana anapenda vyeo. Huko bw. Mrema hana siku nyingi ataachia uenyekiti wake wa maisha na yeye kafulila itakuwa rahisi kwake kukamata uenyekiti kuliko chadema
 
Back
Top Bottom