Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

Watu wa Kigoma wanajuwa siasa toka wakiwa watoto, Kigoma kila mtu anajuwa siasa, ndo nyumbani kwa siasa...
 
Kwa wanachama wa cdm kukataa "Kafulia" kujiunga tena na cdm itakuwa si sahihi. Hiki ni chama cha demokrasia. Kila anayetaka kujiunga hawapaswi kumzuia. Kikubwa ni kuchukua tahadhari na kujifunza makosa yaliyotokea huko nyuma kama swala la Shibuda.

Maoni yangu ni kwamba, kama "Kafulia" akiomba radhi na kuomba kurudi cdm, wampokee kwa mikono miwili ILA asipewe nafasi ya kugombea nafasi yoyote kwenye chama kwa muda flani hadi atambue vizuri sera, imani, itikani, kanuni na katiba ya cdm. Hapo ataweza kugombea nafasi yoyote!
 
dah zitto tulia basi,mbona unataka kuleta vurugu?ivi makamanda wa cdm wakikataa kumpokea swahiba wako kwa vijimaneno vyako we utajisikiaje? anyway ngoja tumalize kuaizindua anti virus 2 leo apa Tripple A arusha ndo nimuulize kamanda mbowe kama atamsamehe uyu dogo. maana kwa mbali namuona Lema na mbowe apa triple A wapo ndani ya mjengo.
 
tatizo zitto na kafulila nyie ndo mnaowalazimisha kupata umaarufu ili hali bd ni wachanga sana ki siasa, labda kwa kukurupuka na kupayuka hovyo ndo mnawaona ni majasiri? Bado sana hawa hawawezi hata kuhimili nyufa ndani ya nyumba zao. Mfano mmeona kafulila ameishia kuomba msamaha ina maana ametambua kuwa alikuwa amekosea na vuvuzela zote hizoo? Zitto nae hana lolote na kama c msaada wa mawazo kutoka ccm angeangukia pua cku nyingi bhana. Na cy hao tuu wengine wengi wapo...
 
Mkuu mbona unataka luturudisha nyuma

WE NEED HAVOC IN OUR POLITICS TO BRING RESPECT AND INTERNAL CONTROL

ukiwa na wale wa ndio mzee, tunaishia kuwa kama CCM, amabpo kuna billions of talents but they end up kuwa mabubu simply because ya ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI NA WENYE PESA....

Kafulila questioned the chairman's ability to run the party and he was right, but because of Tanzania politics, he got booted; democracy yetu inanuka hadi kwenye vyama vyenyewe

Leo hii tunaona Mbatia yuko right, lakini humu JF tulikua juu sana kumuita mbatia kibaraka wa CCM. coming back to other parties... tunaona precedent ipi from NCCR?? si sawa tu na kafu sasa nao wanataka kutimuana?? a few weeks ago CCM nao nusura watimuane?? what about wale madiwani wa arusha??

OUR POLITICS NI ZILE ZENYE MTAZAMO WA GEORGE BUSH "EITHER YOU ARE WITH US, OR YOU ARE OUR ENEMY"
 
Zitto amemkaribisha kwa niaba ya chama au yeye binafsi?nimesoma maelezo yake marefu kwy fcbk page yake (Zitto) ni dhairi kabisa ili jambo la Kafulia kuvuliwa uanachama Nccr limemdisturb sana Zitto,pengine kulikua na hidden agenda ambayo haikufikiwa malengo yake,ila waTanzania wenzangu.

Imefika muda tutambue kua siasa ni maisha kwetu na hata vizazi vyetu vijavyo!siasa si ushabiki au ushadadiaji wa vyama while wananchi wa kawaida wanazidi kuumia,politicians they trying to play and win our mind kwa manufaa yao wenyewe!

Zitto na Kafulila ahihitaji kua na elimu ya phd kujua kua walikua na hidden agenda kwa manufaa yao wao,japo sidhani kama Mbatia nae ni msafi kiasi hiko
 
WE NEED HAVOC IN OUR POLITICS TO BRING RESPECT AND INTERNAL CONTROL

ukiwa na wale wa ndio mzee, tunaishia kuwa kama CCM, amabpo kuna billions of talents but they end up kuwa mabubu simply because ya ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI NA WENYE PESA....

Kafulila questioned the chairman's ability to run the party and he was right, but because of Tanzania politics, he got booted; democracy yetu inanuka hadi kwenye vyama vyenyewe

Leo hii tunaona Mbatia yuko right, lakini humu JF tulikua juu sana kumuita mbatia kibaraka wa CCM. coming back to other parties... tunaona precedent ipi from NCCR?? si sawa tu na kafu sasa nao wanataka kutimuana?? a few weeks ago CCM nao nusura watimuane?? what about wale madiwani wa arusha??

OUR POLITICS NI ZILE ZENYE MTAZAMO WA GEORGE BUSH "EITHER YOU ARE WITH US, OR YOU ARE OUR ENEMY"
Mkuu umenena
 
Mkuu MTM,

Sidhani kama kuna mtu anasema kuwa Mbatia yuko sahihi au ni kiongozi mzuri. Pamoja na umuhimu wake, political vibrancy kwenye vyama bado inahitaji kupelekwa kwa akili na busara badala ya jaziba.

Hata kama Kafulila alikuwa sahihi, kilichowazi ni kwamba ameshindwa kuchanga karata zake vizuri. Ni sawa na kupeleka jeshi zuri sana vitani ila ukishindwa mbinu za kulisaidia lipambane na adui...Madhara yake ni kama hayo.....mortalities and causalities ambazo si za lazima!!
 
kirus hatukitak, zitto mwenyewe kirus.
katika bunge akishilikiana na hamad rashid alimshambulia sana mbowe kwa kutowaingiza kt kambi rasmi ya upinzani, uyu ana aibu kurudi cdm kwa maneno yake dhidi ya mwenyekiti.ila kwa kuwa ni mtanzania na alifanya kosa basi aombe radhi cdm ili asimamishwe tena katika jimbo lake la kigoma kusini. Lakini lazima ashike adabu yake.
 
Sijui ataenda wapi, Kafulila bado tukumbuke ni mwanadamu tu na ni kijana. lakini naamini wengi tunamkubali kuwa ni mpiganaji mzuri anayejua kupanga mashambulizi yake. Na pia tunakubaliana kuwa anahitaji msaada kwenye maeneo baadhi. Wakubwa wamsaidie Kafulila, yeye bado ni zao linaloweza kuwa msaada mkubwa siku za usoni kwa Tanzania yetu.
 
Mkuu hizi sio.NGOs mbona unawapa.sifa kubwa hivyo hivi vyama vinafanya biashara
Hao wote wawili hawahitajiwi walipo.

Njooni huku kwa wanavijiji wa kweli, it's gonna be okay.... tutaijenga upya CCM ,hawa wazee watakufa tu.
 
Mungi nakubali michango yako, hila la kubaguana kikanda habana. Ningekuwa Zitto ningemshauri Kafulila aombe radhi arudi CDM. Asikubali kulewa sifa za kijinga aspiotee kisiasa bado kijana mdogo atafanikiwa. Afuate mwenendo wa aliyekuwa Boss wake Mh. Mnyika.
Sasa mbona watu wa Kigoma ndiyo wanakaribishana wenyewe?
CDM inatakiwa iwe makini sana na hii jamii inayotokea jirani na Burundi!
 
zitto amemkaribisha kwa niaba ya chama au yeye binafsi?nimesoma maelezo yake marefu kwy fcbk page yake (zitto) ni dhairi kabisa ili jambo la kafulia kuvuliwa uanachama nccr limemdisturb sana zitto,pengine kulikua na hidden agenda ambayo haikufikiwa malengo yake,ila watanzania wenzangu,imefika muda tutambue kua siasa ni maisha kwetu na hata vizazi vyetu vijavyo!siasa si ushabiki au ushadadiaji wa vyama while wananchi wa kawaida wanazidi kuumia.

politicians are trying to play and win our mind kwa manufaa yao wenyewe!zitto na kafulila ahihitaji kua na elimu ya phd kujua kua walikua na hidden agenda kwa manufaa yao wao,japo sidhani kama mbatia nae ni msafi kiasi hiko
mkuu uko very correct, ata kama kafulila ataomba na kurudi cdm na ata kugombea kwa tiketi ya cdm, fine lkn lazima wajue (zito pia kafulila) ajenda zao ziko bayana na watanzania tunawafahamu na mipango yao iko bayana kabisa.

zito kabwe ajirekebishe mwenendo wake ambao hatukubaliani nao, aswa yeye km kiongozi wa cdm vinginevyo post ya unaibu katibu mkuu wa chama haiache, kujiingiza tu ktk mambo ya nccr ata kuwajulisha polisi kilichokuwa kikijiri ktk kikao cha nccr by any means hakikuwa sahihi ana masilahi yapi uko NCCR, asa kwa kiongozi wa cdm mwenye post ya unaibu katibu mkuu wa chama cdm, bwana zito be serious tunaiunga mkono chadema kwa kuwa tunaamini ukombozi wetu uko uko, sasa wewe na NCCR kulikoni?? viongozi wa chadema muwe serious o/w mjue uko mbele ya safari hatutataka
 
Mungi nakubali michango yako, hili la kubaguana kikanda hapana. Ningekuwa Zitto ningemshauri Kafulila aombe radhi arudi CDM. Asikubali kulewa sifa za kijinga aspiotee kisiasa bado kijana mdogo atafanikiwa. Afuate mwenendo wa aliyekuwa Boss wake Mh. Mnyika.
Sasa mbona watu wa Kigoma ndiyo wanakaribishana wenyewe?
CDM inatakiwa iwe makini sana na hii jamii inayotokea jirani na Burundi!
 
Shibuda mwingine huyo!ya shibuda mmeshindwa kuyatatua na bado mnataka kuongeza kero ingine na matatizo?waungane na Hamad Rashid kuunda chama chao!cdm say no.

Mkuu wangu Shibuda huwezi kunfananisha na Kafulila kabisa!!
Yaani bora kua na Kafulila mara 100 zaidi ya Shibuda!!
Sema tu kwa vile anaongeza Ruzuku kwa uwepo wake ndio maana bado yupo chamani!!
 
Back
Top Bottom