Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Zitto hafai kuwa raisi hata kidogo, mawazo yake kila siku huwa nayaona ni ya juju sana na hana msimamo. Ukiona anamsimamo ujue anatafuta sifa tuu kisiasa.
Kafulila na Zitto ni kitu kilekile, huwezi kumpa nchi mtu kama kafulila.
Kuna mwingine anaitwa Mnyika, hawa vijana bado ni comedia tuu. Sikuamini kama Mnyika angeweza kupinga kitendo cha Magufuli kuongeza nauli ya kivuko ili kuboresha huduma hiyo wakati Ubugno stand imechoka hata kukarabati wanasubiri serikali itoe fedha.
Vijana iweni makini.