Zitto alipuka tena bungeni

Mh Zitto leo, hivi punde, alitoa taarifa kwa Spika kuwa maelezo ya Waziri na Naibu Waziri wa Nishati na Madini kuhusu sakata la Mgodi wa Kiwira ni ya uongo mtupu na akafafanua jinsi Ufisadi wa kusikitisha ulivyofanyika, Spika akadai kuwa taarifa hiyo iletwe kwake kwa maandishi ili Serikali iweze kujibu, cha kushangaza Zitto akamjulisha Spika kuwa taarifa hiyo ipo kwake Spika kwa maandishi labda apelekewe upya, nae Spika Anna Makinda bila kusita akajibu "ndiyo ilete upya!" Sasa wanajamvi wenzangu sijui mumemuelewaje Spika anavyofanya jazi yake! Ina maana hasomi taarifa sensitive kama hizo au anapuuza kwa vile zimeongozwa na wapinzani au anawalinda mafisadi kwa makusudi?

Atakuwa anazisoma na kuzipeleka kwa wahusika ili watafute mbinu za kupindisha ukweli. Pale alichofanya ni kufunika kikombe ili mwanaharamu apite.
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Ulimpa!? Au mnatafuna naye? Acha udaku leta source magamba type wee!.A man is very smart.Unachafua dhahabu?Haichafuliki kjana utachoka tu dogo.Ni m4c kwsha habar yenu mafisadi.
 
Mbona una weweseka mpaka watoa povu bure wakati alichoambiwa ni alete upya kwa maandishi. Na yeye zitto amekubali shida ipo wapi?

Tatizo ilo gamba lenu linatia kinyaa hapo mbele vitu vingapi kaomba apelekewe mpaka leo kimya? Hivi na nyinyi mandondocha hamjui au ndo ata mavi akisema chakula mtakula?
 
roho mbaya sana huyu mama. Anawaangusha sana wanawake. Licha ya wapinzani kuonesha uozo wote uliopo serikalini bado anaamini taarifa ya serikali ndo sahihi na ya wapinzani ni uongo.
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Mkuu, nakusikitikia sana manake mtu yeyote yule mwenye akili timamu na anayeshirikisha kila mara ubongo wake kabla hajafanya lolote lile, katu hawezi andika utumbo kama huu uliouandika hapo! Kama una familia basi naionea huruma sana familia yako!
 
Hizi zilikuwa ni techniques za wazungu wakati wanakuja kulitawala bara la Africa wakaona waweke mstari huo kwenye biblia ili msiwavurumishie mikuki na pinde wakoloni. Hawa jamaa walikuwa na akili sana, eti ukipigwa kulia geuza na kushoto. Ha ha ha haa. Kuna haja ya maandiko matakatifu kuandikwa upya kwa context yetu ya sasa. Walioandika wakati huo walijiangalia zaidi wao.

Mhh mkuu siku nyingine usiseme haya,biblia haikuandikwa mwaka 1884. Kuna maandiko yameandikwa kabla ya kristo (Agano la Kale) na Maandiko yameandikwa karne ya kwanza hayo yaliandikwa ili kuwatawala waafrika? Nakuomba usifanyie mzaha maandiko yenye pumzi ya Mungu soma 1Timothy 3:16-17

Ukiwa nyuma ya keyboard jaribu kuhusisha ubongo wako lakini kikubwa uwe na hofu ya Mungu (Fear of the Lord). Nani kakwambia Biblia ni kama katiba ya Tanzania ambayo inaandikwa na kurejewa kuendana na wakati?? umesahau maandiko yanayosema Yesu Kristu ni yuleyule jana,leo na milele. Yesu ni Neno hivyo hii ina maana Neno la Mungu liko hivyo Jana,leo na Milele!

Wanadamu watajaribu kuchakachua revelations lakini neno la Mungu litasimama.
Lukolo
 
Last edited by a moderator:
Zito huwa anawasiliana nini na Rostam??..
Chezea TISS wewe!!

Leta data hapa usiongee bila source. Kama anafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida. kama analeta usaliti naye atapewa haki yake maana zitto naye ni binadamu anaweza kwenda wrong. Lkn tusimhukumu bila data.
 
makinda elewa tz sio yakipindi ya Radio Tanzania ya miaka 15 iliyopita ila ni huru na asilimia kubwa ya watanzania ya wanaona ujinga unaufanya wewe na wabunge wa ccm
 
Mwanamke wa kwanza kuwa spika wa bunge tanzania hii nayo ni rekodi ya kipekeee kabisaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!anatia kichefuchefu huyu mama!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona una weweseka mpaka watoa povu bure wakati alichoambiwa ni alete upya kwa maandishi. Na yeye zitto amekubali shida ipo wapi?

Yaelekea si mfutiliaj wa bunge na matumiz mabaya kit cha spika,rudi nyuma suala la Lema dhidi ya wazir mkuu ufumbuzi wake u wapi?? Acha kuping jambo uso lijua.
 
Leta data hapa usiongee bila source. Kama anafanya hivyo kwa nia njema hakuna shida. kama analeta usaliti naye atapewa haki yake maana zitto naye ni binadamu anaweza kwenda wrong. Lkn tusimhukumu bila data.

hakuna lolote,wanajaribu kumchafua Zitto na kupoteza nyota yake lakini wapi,jamaa anazidi kung'aa.Kweli alichokipanga mungu binadamu hawezi kukipindisha
 
Nilimsikia Ngeleja siku moja akisema kiasi cha madini yaliyochimbwa hapa tanzania toka mwanzo ni 10% tu.
Akimaanisha 90% bado yapo ardhini.
Nilichoka sana nikijaribu kuangalia mirerani palivyobaki matundu tundu kila mahali.
Au labda alikuwa anamaanisha other way around.
 
Mnachojadili kinanifanya niamini JF inakosa great thinkers. Suala la Zito mbona liko wazi, huyo nanayesema hamwelewi ni mwana Magamba
 
Back
Top Bottom