Zitto alipuka tena bungeni

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Ni kuhusu migodi ya madini, nimekuta akitakiwa na spika kuleta taarifa yake kwa maandishi. Nimechelewa chanzo chake. Aliyesikia kwa mapana tafadhali.

Ufafanuzi: Anayetajwa hapa si Waziri wa sasa ni Daniel Yona, alipokua Waziri wa Nishati na Madini, na alikua yeye na familia yake wakimiliki kampuni ya Tanpower Resources Ltd, akiwa na ubia na Benjamin Mkapa na familia yake. Kampuni iliyopewa umiliki wa Kiwira Coal Limited. Mpaka baadae ameifilisi kampuni yake ya Anbem Ltd, akimwacha mwanae hadi sasa katika umiliki wa kampuni hizo.
 
Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?
 
wakuu msanii malima adamu pamoja na waziri wake walitaka kudanganya watanzania kinachoendelea mgodi wa kiwila zitto kaomba muongozo kawashona mama spika kama kawaida kabana mbavu mapinduzi kamwambia zito apeleke kwa maandishi inmaana hiyo ndio itakuwa imetoka atuwezi kujua nani muongo zito au hao mabingwa we mama umehahidi kustafu tusije kukuongeza kwa washughulikiwa 2015
 
Ni kuhusu migodi ya madini, nimekuta akitakiwa na spika kuleta taarifa yake kwa maandishi. Nimechelewa chanzo chake. Aliyesikia kwa mapana tafadhali.

Mh Waziri na naibu wake walikuwa wakijibu swali kuhusu kiwira Coal, sasa Zito kasema wametoa taarifa ya uongo na akajaribu kuweka mambo wazi, ndio speka akaomba apeleke taarifa ya maandishi ili serikali itoe majibu
 
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
 
Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?

Mbona una weweseka mpaka watoa povu bure wakati alichoambiwa ni alete upya kwa maandishi. Na yeye zitto amekubali shida ipo wapi?
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
 
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika

Hapo ndipo mnapotaka kuchakachua maandiko matakatifu ya biblia.
Unataka watu watulie kwa kuwa tumefundishwa kupenda hata maadui?
Huyu Bi Kidude amekuwa na tabia ya kulinda maslahi ya mafisadi, na kuwakandamiza wananchi wa nchi yetu.
Personally I real hate the way anavyoongoza bunge. it's real pain
 
Mh Waziri na naibu wake walikuwa wakijibu swali kuhusu kiwira Coal, sasa Zito kasema wametoa taarifa ya uongo na akajaribu kuweka mambo wazi, ndio speka akaomba apeleke taarifa ya maandishi ili serikali itoe majibu

Hivi huyu makinda ana tatizo gani? kila msema uongo bungeni akiumbuliwa humficha kwa kudai taarifa ya maandishi ambayo huiatamia ofisini kwake!!! Naomba ipelekwe hoja ya mbunge kupeleka hoja kwa maandishi baada ya kusema ya moyoni wazi pale mjengoni. Maana huyu mama ameficha taarifa nyingi sana ambazo zililenga kuwafichua viongozi wanaolidanganya Bunge, wa kwanza ni PM( HOJA ALIYOTOA LEMA)
 
Kama kuna ukweli wa tuhuma za Zito, mbona hali inatisha?

alichosema Zitto ni kuwa hizo taarifa zipo kwenye ripoti ya kamati yake ambayo waliiwakilisha kwa Speaker...cha ajabu ni pale tuZitto alipomkumbusha madam speaker kuwa huo ushahidi uko kwenye makabati yake lkn speaker akang'ang'ani iletwe tena
 
Mi naona tupiganie uhuru upya manake I don't think we are free. Mbona mambo ni ya kibepari tu.
 
Hapo ndipo mnapotaka kuchakachua maandiko matakatifu ya biblia.
Unataka watu watulie kwa kuwa tumefundishwa kupenda hata maadui?
Huyu Bi Kidude amekuwa na tabia ya kulinda maslahi ya mafisadi, na kuwakandamiza wananchi wa nchi yetu.
Personally I real hate the way anavyoongoza bunge. it's real pain
sawa mkuu lkini ukumbuke njo vile kuna makanisa mengi sababu ya tafsiri
 
Kwa maelezo ya Zitto ni kwamba tayari kamati yake walishawasilisha taarifa kwa ofice ya Speaker lakini cha kusikitisha Speaker anamtaka Zitto awasilishe tena (re-submit) taarifa hizo kwa speaker! Hapa napata wasiwasi kama kweli Speaker ana uwezo wa kuongoza bunge maana anaonekana kutofanyia kazi taarifa anazopewa na kamati za bunge!
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Muelewe Zitto mkuu.....alichosema ni kumkumbusha mada kuwa anachosema waziri sio kweli na ushahidi uko kwenyetaarifa ya kamati ya Zitto ambayo speaker anayo ofisini kwake
 
Back
Top Bottom