Zitto Alazwa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
watauguzana. Kuwa na mwenza legal ni muhimu. Kila siku vichenchede hadi lini? Si kwa Zitto tu, ujumbe huu ni kwa vijana wotee mabachelor, msiogope majukumu!

Mama

Ni wewe uliyenikataza nisizungumzie kuhusu Chacha kumtelekeza mkewe Tarime aliyezaa naye watoto 12 aliyemsaidia kwenye kampeni na kulowea kwa binti wa kishombeshombe kama kimada wake hapa Dar es salaam? Ni wewe uliyesema kwamba hakuna sababu ya kugusa masuala binafsi ya mtu. Ni wewe huyo huyo hapa unamshambulia Zitto kwamba ana vicheche? Hujui kwamba Zitto ni mzazi? Unadhani mzazi mwenzie akisoma hapa atajisikiaje?

Asha
 
sijamshambulia Zitto jamani, nimeshauri tu kusupport umuhimu wa kuoa! labda nimetumia lugha ya kikwetu, niseme kijana kama hana mke anakuwa na girlfriend (kichenchede). Labda kiingereza kinasound utamu. Mie mwanangu anamleta kichenchede wake na anataka alale nae nyumbani kwangu. Nikiwaambia waoane hawataki. Ndio nikaweka huu ujumbe hapa kwa vijana wooote including mwanangu R.
 
vijana Wa Chadema Wengi Hawajaona Wala Kuolewa Iwe Wabunge Au Wakurugenzi Wa Chama, Ni Kwa Nini Lakini? Au Ni Sehemu Ya Harakati?

Asha

Wanasema Wanyama Wanapata Maziwa Wanapata Wafuge N'gombe Wa Nini?

Wajaze Mavi Bandani Na Kuhudumikia Kulisha Majani ?

Hao Ndio Vijana Wa Chadema Akina Hao ......
 
Wanasema Wanyama Wanapata Maziwa Wanapata Wafuge N'gombe Wa Nini?

Wajaze Mavi Bandani Na Kuhudumikia Kulisha Majani ?

Hao Ndio Vijana Wa Chadema Akina Hao ......

Hapa unamaanisha ule msemo maarufu wa mchungaji Dr. Getrudi Lwakatare kuwa "if you can get a free milk why keep a cow"?

Kuoana ni muhimu ila sio lazima , kuoa ama kuolewa hakumpunguzii mtu uwezo wa kuwa kiongozi na pia haumuongezei mtu uwezo wa kuwa kiongozi.
 
hapa Unamaanisha Ule Msemo Maarufu Wa Mchungaji Dr. Getrudi Lwakatare Kuwa "if You Can Get A Free Milk Why Keep A Cow"?

Kuoana Ni Muhimu Ila Sio Lazima , Kuoa Ama Kuolewa Hakumpunguzii Mtu Uwezo Wa Kuwa Kiongozi Na Pia Haumuongezei Mtu Uwezo Wa Kuwa Kiongozi.

Ni Kweli Kabisa Huo Msemo Sasa Ndio Viongozi Wetu Hao Ila Waambieni Kuna Ngoma Tu

Maana Kwenye Visemina Wanajitahidi Kukumbuka Wapi Walipotoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom