fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Usichanganye mambo, picha hii haijaletwa na kitengo cha mawasiliano cha cdm au ofisi ya mbunge kama wafanyavyo ikulu na kitengo chao kile cha habari na mawasiliano, hapa ni utashi mwa muanzisha mada, hivyo basi unapaswa kuelewa picha haikupigwa kwa kutafuta umaarufu.. kama ambavyo tumeona viongozi wetu wa kitaifa wakitafuta kupiga picha na wachezaji maarufu, wasanii wa kimataifa, nk.Sielewe kabisa hoja ya picha hii na ujumbe wake. Nisaidieni.
Kwa uelewa wangu mdogo, kwa malengo ya mbali naona ni mbinu za ujima za kupanda ngazi za kisiasa.
Watanzania na hasa vijana ni lazima tujikomboe na kuhasiwa akili zetu/ mental castration kuwa kupiga picha na mzungu anakuongezea umaarufu.
Niweie radhi sana Kiganyi lakini nifikirie tu kwa sauti kama lengo ni kumjengea Zitto umaarufu basi ni aibu yako, usilambe miguu ya wengine. Ukiwa kiongozi itakuwaje? Ndio maana tunatoa kila kitu kwa wageni na watu wetu yunawafukuza na kuwafanya watumwa kwenye nchi yao.
Wana JF ina udhi sana unapoona kiongozi wako wa juu anaona uafahari sana kupiga picha na wasanii, wachezaji na inakuwa jambo kubwa kitaifa. Au pale anapojivunia omba omba.