Zitto akamatwa na polisi mjini Singida

Status
Not open for further replies.
Kosa ni kuendesha mkutano wa hadhara baada ya saa 12 jioni.

Habari zaidi tutapeana hapa, inaelekea leo ni siku ya kamatakamata.

UPDATES:

Inadaiwa katolewa rumande na kaambiwa aripoti kesho polisi

Asiende tu ana immune huyo!!!!!
 
Polisi hawawezi kujenga hoja inayoweza kueleweka ya kwa nini imemkamata zk
 
Huyu Zitto ataachiwa si muda -- nyie mtaona tu. Wala halali selo hadi J3. Ni swahiba wa JK ambaye atapiga simu kwa RPC wa Sngd na kuachiwa mara moja!

Haya sasa. Maswahiba ndio mwiba wa JK, anadhani Chadema kikichukua dola bac Zitto atazuia jamaa isifungwe. La hasha hilo asahau sababu Chadema sio chama la Zitto bali la wanachadema wote. Km ilivyo kwa Lowassa JK anajitengezea marafiki uchwara maana yeye hana sifa za uongozi mfano kutake risk 2 purge out Squanderers na hawezi kufocus for the future of his followers and now even his own safety after leaving power.
 
Zawadi ya hawa makamanda iwe ni kura nyingi sana za kishindo ifikapo 2015 (kama itafika) hatuna kingine tunaweza kuwalipa.
 
Jeshi la police wanatakiwa wawe na akili za mbayuwayu,akili za kuambiwa wachanganye na zao wanatakiwa watumie busara ktk mambo mengine kuliko nguvu kama amezidisha muda kinachotakiwa kutezama kuna uvunjifu wa amani sio wanataka kuwafurahisha watawala wakati wanaharibu
 
....smelling something fishy...is it a coincidence with Mbowe's arrest......or just an 'equaliser??'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom