Zitto akamatwa na polisi mjini Singida

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa Zitto, aliona kila dalili mapema kwani liliingia kundi la FFU ambao walionekana wazi wamejiandaa, hivyo akahakikisha saa 12 juu ya alama anamaliza mkutano lakini bado akakamatwa.

Duh,kwa hiyo amepewa dhamana au taarifa umezipataje kama kashikiliwa bado?
 
Kosa ni kuendesha mkutano wa hadhara baada ya saa 12 jioni.

Habari zaidi tutapeana hapa, inaelekea leo ni siku ya kamatakamata

Vyombo vya dola hasa polisi wanaonekana kuwa makini linapokuja suala la chadema. Kama wanaweza kufuatilia hata muda wa kufanya mkutano kwa nini washindwe kukamata majambazi, mfano wale wa EPA? Kwa nini polisi wetu wasikomeshe ajali za barabarani ambazo nyingi ni kutokana na kukiuka sheria za usalama barabarani?
 
Talk of hypocrisy and double standard! Askari wameshasahau kuwa hata Rais alikwisha kufanya mikutano baada ya saa 12 jioni wakati wa kampeni 2010, pamoja na kutetewa na Tendwa, tume ya uchaguzi ilikiri kwamba hilo ni kosa. Walikuwa wapi askari wakati huo? Zitto alipewa taarifa ya kusimamisha mkutano baada ya saa 12, na akakataa kusitisha?

Hii inaweza kuwa mbinu ya kuwafanya viongozi wote wa CDM wawe busy na kesi ili washindwe kuendeleza harakati za mageuzi.....
 
Huyu Zitto ataachiwa si muda -- nyie mtaona tu. Wala halali selo hadi J3. Ni swahiba wa JK ambaye atapiga simu kwa RPC wa Sngd na kuachiwa mara moja!
 
Kwa mujibu wa Zitto, aliona kila dalili mapema kwani liliingia kundi la FFU ambao walionekana wazi wamejiandaa, hivyo akahakikisha saa 12 juu ya alama anamaliza mkutano lakini bado akakamatwa.

bado sijaelewa, ameachiwa au bado anashikiliwa hapa singida, naombeni taarifa kabla ya saa mbili usiku huu, kuna vijana wapo depo hapa kambini niwape kazi wakawagonge hao askali polisi, tukinyamaza wanahisi tumeridhika, pambaf!!
 
Mimi nadhani sasa ni wakati wa kufikiria nje ya box.

Hii habari ya kuwakamata hawa viongozi na kuwaweka rumande inaweza kuwa na kitu, nadhani ni zaidi ya tunavyofikiria wasije kuwa wanawamaliza huko bila wao au sisi kujua
 
CCM ina mwisho wake, vilikuwepo vyama imara na vikubwa kuliko ccm lakini leo hii haviko. Ziko wapi tawala kama za Roma Empire? Wako wapi wakina mubaraka?

Mimi naamini CCM ina siku yake tu
 
Werevu wanasema siku zote, unapotaka kumfanya ndege ajulikane mpake rangi ya tofauti na wengine.

Kinachofanywa na wanamagamba ni karata ya turufu kwa wapinzani. Kuwakamata kamata viongozi, wanachama, mashabiki na wapenzi wa CDM kunafanya jamii yote, kisaikolojia, iwe katika hali hizi:
(a) jamii inaanza kujua watu hawa ni watu gani. Katika hili, jamii husaka ukweli ni upi. Na mara nyingi wanyonge huonekana wakweli wapokuwa wanakabiliwa na watawala.
(b) Jamii inaanza kujenga hisia za kuwaonea huruma wanaoteswa na mfumo kandamizi.
c) Jamii huanza kutafuta namna ya kuwasaidia wakandamizwaji, inaweza kuwa kuwaunga mkono au kuwashangilia na kuanza kuwapenda sana na kuwachukia wakandamizaji.

Mathalan, kama ilivyokuwa kwa N.Mandela, mwana mama Syu wa Mynamar
 
Kosa ni kuendesha mkutano wa hadhara baada ya saa 12 jioni.

Habari zaidi tutapeana hapa, inaelekea leo ni siku ya kamatakamata

??@zittokabwe: RCO just got an order from his RPC to let me off and report tomorrow. Self-bail.
 
Mambo mengine wanayofanya hawa magamba ccm wanazidi kutujengea chuki dhidi ya jeshi la polisi kila siku,siku tutaingia ktk familia zao hatutajali sauti za watoto wao wachanga.Sidhani Kama Serikali makini inaweza kufanya ujinga Kama wa hawa magamba ccm hawana hata busara utafikiri wao ni malaika wa kutokuvunja sheria!!!!!!shame on them
 
Saa ya ukombozi yaja; CCM inafanya kazi ya CDM kuchukua nchi iwe rahisi kupita maelezo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom