Zitto akamatwa na polisi mjini Singida

Status
Not open for further replies.
Hatujawai sikia kiongozi wa chama cha magamba kakamatwa kwa ajili ya kuzidisha mda, hii ni aibu sana hii ccm inakufa vibaya!!!!!!!!!!!!
 
Max na wanaJF....

The more hii serikali inacheza na hawa wapiganaji, the more the rage, anger nk kwa serikali ya chama tawala yaani CCM

Kuna kitu ambacho kimejificha sana kwenye hali ya sasa ya Tanzania, we are being blown by the wind of change, na ni lazima kimbunga hiki kitashusha tu bendera ya magamba, HATA IWEJE

Werevu ndani ya CCM wameona na wakasema wazi, lakini hawasikilizwi

Zitto, MBowe na wengine wote wataowekwa ndani leo ndio mwanzo wa makubwa kwani na vikao vya bunge vinaanza soon

Burudani zaidi ni ile kauli ya kiongozi mmoja mpumbavu wa Singida, ataskia uchungu sana even before 2015

UJUMBE, CCM KUANZI SASA NI CHAMA PINZANI MTARAJIWA... DAY ARE NUMBERED
 
Dah
kamatakamata day
haya vipi JK kapata ajali kweli au story za kijiwani?
 
Fidel Castro

I know that imprisonment will be harder for me than it has ever been for anyone, filled with cowardly threats and hideous cruelty. But I do not fear prison, as I do not fear the fury of the miserable tyrant who took the lives of 70 of my comrades. Condemn me. It does not matter. History will absolve me.
 
Kosa ni kuendesha mkutano wa hadhara baada ya saa 12 jioni.

Habari zaidi tutapeana hapa, inaelekea leo ni siku ya kamatakamata

Huo mkutano alikuwa akiudeshea wapi? wasije wakakamata hata watu wao kwenye vikao vya harusi na misiba
 
Ccm wameamua leo kuiua Chadema
chadema kamwe haiwezi kuuwawa kwa namna hiyo!!

What i see here ni distraction ili tusifocus kwenye mambo magumu ya wiki hii Bungeni, we will stay focused na hao viongozi watawatoa tu, hawana ujanja

HAKUNA UKOMBOZI KWENYE SILVER PLATE, HAYA YOTE NI MAPITO KUELEKEA UKOMBOZI KAMILI
 
naamini ni kosa ambalo linaweza kumalizika kwa muda mchache na huyo mr akawa huru-naona chama tawala kinakuja na mbinu mpya ya ku-deal na upinzani-
mwisho wa ccm ndom unaanza kwa mtindo huu
 
<br /> nadhani ccm sasa wanaogopa haswa kushindwa tulikuwa na u freedom b4 twenty ten elections sasa ni wanazidisha hawa mafisadi
<br />
 
Kwa mujibu wa Zitto, aliona kila dalili mapema kwani liliingia kundi la FFU ambao walionekana wazi wamejiandaa, hivyo akahakikisha saa 12 juu ya alama anamaliza mkutano lakini bado akakamatwa.
 
Walimfunga Mandela, wakamfunga na Jomo Kenyatta lakini Uhuru ukapatikana. Gereza halijawahi kuzuia 'uhuru' mahali popote pale. Wametia mafuta katika moto unaowaka. Keep it up Mbowe, Zitto, Lissu, na Sakaya!
 
Kwa mujibu wa Zitto, aliona kila dalili mapema kwani liliingia kundi la FFU ambao walionekana wazi wamejiandaa, hivyo akahakikisha saa 12 juu ya alama anamaliza mkutano lakini bado akakamatwa.
kwa hio game zima lipo kama lilishapangwa iwe hivyo-naamini akitoka ataeleza vyema
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom