Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Aeleze na Ndege ya TANAPA yeye huwa anaitumia kama nani na kwa mamlaka yapi? Kama mwenyekiti Wa kamati ya Bunge ya Mahesabu ya mashirika ya umma ataweza kukagua TANAPA kwa haki? Zitto ni fisadi, aeleze Gari aliyopewa na Nimrod Mkono na huo mshahara anaolopwa na Rostam Azizi ni kwa kazi ipi.
Ila Zito bwana unajiachia kirahisi mno. Nilikuona pale Saadani unakula bata na magari ya Tanapa, unaingia kichwakichwa mno. Kama una vacation unashindwaje kutafuta usafiri wako? ndege utumie za tanapa na magari pia? we bado kijana sana na chanel ushaikamata unataka uvimbiwe leo kesho ushindwe kula? Taratibu mzee utapotea na masiasa yenu ya kuviziana ndo balaa.