Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

Status
Not open for further replies.
suluhisho si kufukuzana bali ni kukaa pamoja na kuondoa tofauti za kimsingi

kiongozi huyu ni wa kufukuza aende huko wanakoruhusu watoto wasio na adabu..hafai kuwa ndani ya chama chetu na aondoke zake aende ...kwanza wanachelewa sana kufanya uamuzi
 
Chama ni wanachama sio viongozi pekee yao. Sidhani kama kuondoka kwa mtu mmoja inaweza kuwa tatizo. Kwa wale wasoma Biblia Yona aliposababisha dhoruba kwenye Merikebu aliomba yeye mwenyewe atoswe baharini ili ile merikebu isizame. Sijui kama jamaa hawezi kulinganishwa na Yona kwa sasa. Unaposema unamheshimu mwizi aliyekuibia ni hatari sana tena hasa unapotoa hata siri za ndani kwa kiwango ambacho hata CCM wenyewe hawapendi. Sijui!
 
Nadhani chama kimeshatoa maelekezo juu ya nini kitafuata baada ya maelezo binafsi kususia uamuzi wa pamoja. Nionavyo mimi pamoja na makosa afanyayo zito kumekuwa na uchochezi wa kumzuria mambo mabaya yasiyo yake ambapo naona huo siyo ubinadamu. Kila mmoja wetu sharti abebe msalaba wake
 
Marekani walikuwa na Kennedy JF, Uingereza walikuwa na Churchill, China alikuwepo Mao, Tanzania tulikuwa na Mwalimu JK nimeanza na viongozi hawa wakubwa sana waliokuwa majabali katika Siasa na uongozi wa vyama vyao mpaka mataifa yao siku walipoondoka Mataifa yalizizima kwa simanzi hofu ikatawala mioyo ya wananchi wakihofu nani atachukua nafasi zao, but vyama walivyokuwa wanachama vipo vinadunda mpaka leo, hiyo ni katika higher level, tukirudi kwa huyu bwana Zitto ..Who is he? My belief is that CHADEMA was there without Zitto and it will be there without Zitto na Zitto pia atakuwepo bila CHADEMA, Chama hakiwezi kufa kwa kupoteza mwanachama mmoja kama vile kufa kwa mwanajeshi mmoja sio mwisho wa vita
umenena samakimja akioza unamchomowanakumtupa wanaobaki nikitoweyo
 
Who is zitto? We had Lamwai, Marando, Mrema and etc. Where are they? Opposition will go forward without this selfish snake whose head needs to be cut off
 
Zitto is an individual, CDM is a party, meaning people plus the ideology that binds them....sasa Zitto kuwepo au kutokuwepo hakuwezi ku-affect chama, japo of course hatuwezi kukataa kuwa lazima kuwepo na gap kiasi fulani but hata hiyo gap itazibwa na mwingine. Wako Watanzania wengi wanaopenda Chadema na wenye uwezo wa kuongoza hata zaidi ya Zitto, na wasio shika huko na huko...na hakuna chama ambao kinakuwepo tu bila challenges, maana challenges zinatusaidia kujifunza, kukua na kuimarika zaidi. Bila challenges kunakuwa na leniency
 
suluhisho si kufukuzana bali ni kukaa pamoja na kuondoa tofauti za kimsingi

Weee ukae pamoja na mamluki waliokwisha onja ufisadi??? You must be kidding!!! Aondoke chadema was there even before Zitto and will exist without him aondoke, afukuzwe au ajiondoe aende aendako hako ni kafisadi fulani and it will cost us a lot in the future kama ataendelea kuwepo na kupata wadhifa kwenye chama.ACHAPE LAPA.
 
Mfano. mara baada ya Mh Sitta baada ya kuripotiwa kwenye vyombo vya habari kukwaruzana na ccm na hata kutaka kuvuliwa uanachama, mara tu ya kurudi tabora alipokewa na Viongozi wa Dini yake, mazungumzo yalifanyika mara tu baada ya kushuka airport.lkn baada ya mh sita kukosa uspika, tuliskia baadhi ya viongozi wa dini hasa wale wa kanisa la kinondoni wakilia nadhani imefika wakati Mh zito Rudi kundini, pia jaribu kujikumbusha ktk imani yako ,mengi yatakuipeka.

Soma signature yangu.

vipi umelamba sakafu leo?
 
Ukiona mtu analialia ooh udini...oooh ukabila..oooh ukanda ujue ni mtu asiyejamini na dhaifu,kwa kiwango cha elimu na ufahamu cha Zitto atakiwi kuwa mtu wa kulialia,he need to make decisions hata kama ni maamuzi magumu,mbona Lyatonga alifanya!!!!....don't look for scapegoat and remember there is very thin line between love and hate...we gonna hate or love you but that depend on your decision.
 
Hivi kuna mantiki yoyote ya kujibishana na MS? Huyu adharauliwe tu, mwacheni atoe upuuzi wake peke yake akikosa wa kumjibu ataacha. Kusema kweli hoja za MS na watu wa jamii yake zinadharaulisha sana JF, sijui kama mods hamjaliona hili.
 
Udini huu sijui utatupeleka wapi, badala ya kujadili mambo ya kimsingi bado tunabishania udini kazi ipo!
 
Zitto alishasema CHADEMA hakuna udini, ila CCM wamekuwa na tabia ya kuwapotosha wananchi kuwa kuna wagombea walikuwa wanahubiri udini bila kufafanua, ili watekeleze matakwa yao. Ukweli ni kwamba iligundulika kuwa JK na CCM yake wanahubiri udini na wana udini kwelikweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom