Zitto aipa Tanzania jina jipya

Zitto umehongwa na Barrick, wamekupa hongo waliouita msaada wa jimboni kwako. Usijitetee hiyo ni hongo na ulipewa baada ya kuanza kulalama kuhusu Barrick. Hiyo ndio tulioiona, I wonder ile ambayo hatujaiona.
 
Thibitisha tuhuma hizo kwamba anahongeka kirahisi mno. Kwa muono wangu siyo rahis kwa Zitto kukemea rushwa hadharani au kusema rushwa hadharani kama alishawahi kula mlungula na magamba wakamuacha wasimuuombue.

Mwanahalisi la mwaka jana kasome.
 
Zitto umehongwa na Barrick, wamekupa hongo waliouita msaada wa jimboni kwako. Usijitetee hiyo ni hongo na ulipewa baada ya kuanza kulalama kuhusu Barrick. Hiyo ndio tulioiona, I wonder ile ambayo hatujaiona.
kaka na wewe ni mbunge?
 
Kama mafisadi wakienguliwa katika nafasi zao Zitto hatobaki kwa kuwa na yeye ni wale wale, fisadi sio lazima uhongwe pesa tu hata maneno ambayo yanaweza kulisababishia hasara taifa na gharama ambayo ukiiithaminisha inaweza kuwa mabilion na mabilion, sasa Zitto alionekana kuwasiliana na akina Rostam na mkurugenzi wa usalama wa taifa kwa karibu sana mbona mpaka leo hajakanusha na hajawashitaki mwanahalisi? mawasiliano hayo mbona hasemi yalikuwa ya nini??? Yuko kuangalia angalia makundu ya wenzake lake amelibana.
 
Thibitisha tuhuma hizo kwamba anahongeka kirahisi mno. Kwa muono wangu siyo rahis kwa Zitto kukemea rushwa hadharani au kusema rushwa hadharani kama alishawahi kula mlungula na magamba wakamuacha wasimuuombue.

Wanamuhonga awafanyie wanachotaka na anatimiza azima yao,halafu unasema hao hao magamba wamuumbue? You must be sick!
 
zitto hana lolote kipindi cha mwanzo alikuwa anaongea sana bungeni alipoona hajapewa nafasi ya kupata ulaji kapewa nafasi kimya mnafiki huyo asitushike masikio
 
Zitto umehongwa na Barrick, wamekupa hongo waliouita msaada wa jimboni kwako. Usijitetee hiyo ni hongo na ulipewa baada ya kuanza kulalama kuhusu Barrick. Hiyo ndio tulioiona, I wonder ile ambayo hatujaiona.

Mkuu na gari aliyopewa na Nimrod Mkono ila kumshawishi Yule kijana aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la Mkono kupitia CHADEMA ajitoe. Aje hapa akanushe tumuone
 
duh kama zito nae ni fisadi basi tz imeuzwa tayari, ila naomba tuingee vitu vyenye uhakika na tuache chuki binafsi, nashukuru mtoa taharifa hiiametoa uthibitisho ambao wengi tumeuona na kuhusikia lakini mbona hayo ya zito ndio tunayasikia leo, au huku ndani tayari kuna watu wameshachukua chao kutoka kwa magamba ili waje wawachafue baadhi ya watu hapa
 
Back
Top Bottom