Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

Status
Not open for further replies.
I hope this guy will be ok very soon. We still need him. We should continue praying for him. This country has now gone to the dogs who don't care about the welfare of a common man. It is the people like Zitto and other people fighting for justice, prosperity and equality who will bring this country back on track
 
Ni vizuri Madaktari na manesi wanao mhudumia na wao wakawa chini ya uangalizi maalumu, Mafisadi wana nguvu sana.
 
Get well our brother in the common fight. Tunakuombea, "jua hallitakupiga mchana, wala mwezi wakati wa usiku" Bwana Mungu atakulinda na kukuponya. Wale walio karibu na Muhimbili tupeni updates za afya yake tafadhali. We are very much concerned about his health. Wengine tuko "bara la ndani sana."
 
This might very easily be a simple CRYPTOCOCCAL MENINGITIS or CEREBRAL TOXOPLASMOSIS.

I hope the docs at Muhi2 are sharp enough to do a fundoscopy and lumbar puncture then start the guy on the meds as required.

Ni wakati wa kutooneana aibu, no matter how big a politician the guy is
lakini Miningitis huwa inaendana na kukakamaa kwa shingo na homa tofauti na kuumwa kipanda uso
 
Kuna watu tunaoneshwa kwenye TV zetu hapa ni wagonjwa kwelikweli. Kwa kuwa ni Zitto, Mwakyembe, Mwandosya,.....coverage kuuubwa. Ugua pole Zitto.
 
Kutokana na hali ya kisiasa ilipofikia, nashauri kama mpenda maendeleo Chadema wafanye ya yafuatayo

1. Wasipuuze kuugua ghafla kwa viongozi wake wa juu na wabunge wanaotishia uhai wa serikali.
2. Kuwe na kitengo cha afya (kama hakipo) au daktari maalum mwaminifu atakae kuwa anasimamia kikamilifu matibabu ya viongozi na kutoa ushauri haraka.
3. Issue kama hii ya Zitto inaweza kuwa ugonjwa wa kawaida lakini pia inaweza kulenga kumtoa kwenye focus ya issues muhimu kuelekea kwenye vikao vya bunge, hivyo matibabu yake yapewe umuhimu wa pekee na kufatiliwa kwa karibu na doctor maalum.

Zinaweza kutumika mbinu za sumu na nyingine za hatari.nafikiri tuendele kutoa ushauri namna ya kulinda afya za viongozi wetu ktk mazingira ya siasa zetu zilipofika.
Naungana na wapenda haki wote kumuombea dua kiongozi wetu mh. zitto kabwe inshaallah Mwenyezi Mungu atamsaidia atapona.
 
Ni vizuri Madaktari na manase wanao mhudumia na wao wakawa chini ya uangalizi maalumu, Mafisadi wana nguvu sana.
ulilonena mkuu ni jambo la muhimu sana sio la kuchukuliwa kwa wepesi. Pia sio wote wanaenda kumuona kwa nia njema. But our prayers are with him all the way, he'll be just fine, this country still needs him so much.
 
Ugua pole kaka ila wajue kuwa wanachokifikiria kufanya kiawarudia wao muda si mrefu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom