Zitto afunika Igunga

Tungezee na hili..Chama cha wahuni

Gadafi alisema maneno hayo mkamuunga mkono leo anakunya kwenye sado, wahuni kwenye kapeti jekundu na mizinga 21 nasikia wanakuja kumpa hi kikwete vipi mtawapigia mizinga au bado hamuwatambui..
 
hata rais wa Zambia na chama chake MMD aliwaza kama wewe.Yuko wapi leo?
Upinzani wa Zambia ni upinzani wa kweli..tofauti na huu wa TZ. Wapinzani wa TZ wengi hawaijui siasa bado, hawajui mbinu za kuteka minds za wananchi.
 
My GAWD!!!! Igunga haijawahi kuona umati kama huo katika maisha yake yote! Muulize mtu yoyote pale mwenye umri mkubwa atakueleza hivyo. Kilichobaki kwa CCM ni kufanya kawaida yao ya ujambazi waliozoea na kunyang'anya kwa nguvu. Namna nyingine hakuna. Najua CCM watasema wote hao hawakujiandikisha.
 
My GAWD!!!! Igunga haijawahi kuona umati kama huo katika maisha yake yote! Muulize mtu yoyote pale mwenye umri mkubwa atakueleza hivyo. Kilichobaki kwa CCM ni kufanya kawaida yao ya ujambazi waliozoea na kunyang'anya kwa nguvu. Namna nyingine hakuna. Najua CCM watasema wote hao hawakujiandikisha.

Hii mijambazi inayotembea na silaha viunoni kutisha wananchi ili waendelee kupora rasilimali zao lazima itokomezwe. CCM wakishinda itakuwa ni mojawapo ya maajabu saba ya dunia. Kweli kabisa.
 
Najaribu kuwaza CCM watatokea wapi huko Igunga. Nilimsikia Mbunge wao mmoja mwanamke akiwahutubia wanavijiji kama kumi katika eneo moja ati CDM ikishinda kutakuwapo vita kama vile Burundi. Mie nadhani CDM wakienda eneo hilo waende na bango la Rage na bunduki yake kiunoni ili wanavijiji hao wajue ni akina nani hasa wako tayari kwa vita.
 
Atakayepona cjui gamba gani mwaka huu...du mpaka 2015..Mungu aturehemu tufike tuone gamba linavyong'olewa kwa shoka(umma wa Tanzagiza)
 
Nimeiangalia hiyo clip ya video na nina nadhani CCM wainue mikono juu tu, ili Igunga iwe salama. Na hapo sijaona watoto wa shule, sijawaona waliopewa kapelo na T-shirt za chama. Kama hawa wapo, basi ni wachache mno wa kuhesabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom