Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,524
Kama unakumbuka wakati ule alikuwa anataka sheria ivunjwe ili kunusu nchi kumbe ana lake, this time watu wamevunje sheria ili kulinda maslahi ya nchi anataka sheria ifuatwe... Kivipi??? Hivi Zito na washabiki wake wanadhani waTZ ni vilaza wa kiwango hicho????
Mimi nataka Zito atuambie tufuate anayoamini yeye kwa sababu tu ni yeye siyo????
Aache utani na waTZ, huu si wakati wa kusikiliza nani anasema na kuamini lipi? bali ni wakati wa kujua nini kuko nyuma ya mambo yote yanayoendelea....
Embu atuambie zito kama anafikiri shheria inatakiwa kufuatwa tutakuwa tumeokoa kiasi gani cha pesa maana wengine wamesema pamoja na kuvunja sheria wenzetu wamesema wameokoa zaidi ya Bil 6 kwa mwezi.
Unadhani Zitto akikuambia hicho unachotaka akuambie ndio itakuwa mwisho wa matatizo ya TANESCO?
Thinking critically, huwezi mlaumu Zitto na utajua tatizo liko wapi. Think people, think.