Zitto afunguka na kueleza hafanyi siasa za kufuata upepo, anasimamia kanuni

Zitto unamuelewa vizuri sana usijitie upumbavu wa akili, na kama unataka kumjua zaidi basi endeleeni na chuki zenu zisizo n sababu. mwaka huu lazima kieleweke,lazima demokrasia ifwate ndani ya CDM au tangazeni mapema kuwa CDM ni chama cha.......

watoto lazima wajitenge popote pale
 
Ukishasema sitatoa statement ushatoa statement, hawa watu vipi?

busara ya kawaida ni kwamba usipojibu lile unalopaswa kulijibu ni kwamba umelikubali kwamba ni kweli....kwa hyo zitto akikaa kimya ni amekubali kwamba amekubali yaliyosemwa juu yake. navyomfahamu zitto hizi tuhuma kama si za kweli angekuwa keshakanusha tena kwa sauti kubwa na ya ukali....ndg yangu zitto ww si Mungu au malaika kiasi chakutokuwa na doa wala makosa....kufuru ya namna hii ndiyo itakayokuangusha...ni sula la muda tu everythng will unfold....wingu linazunguka kadhia hii ni zito sana na bila shaka mvua itakayotokana na wingu hili itasababisha gharika kwa wengi..Zitto majibu anayotoa hayalingani na uzito wa kadhia yenyewe...hii peke yake inatosha kutupa majibu ya maswali tunayojiuliza...kumbukeni wakati wa kashfa ya CHC Zitto aliweka ubunge wake na uenyekiti wa kamati ya POAC rehani kwa kuahidi kujiuzulu nyadhifa zote mbili ikiwa itathibitika kwamba yeye amehongwa na CHC,,,,sasa hoja yangu.MBONA SAFARI HII HATUSIKII KAULI NZITO KAMA HII badala yake anasema eti "hawezi kijibu uzushi wenye misukumo ya kisiasa" Kuwambia wenzio ni wazushi badala ya kuwajibu hoja kwa hoja ni kielelezo cha kukosa moral authority kujibu tuhuma....ajielekeze kujibu tuhuma na si kuwambiw wenzake ni wazushi...mbona wengi walikutetea kwenye issue ya CHC inakuwaje ktk hili wasikutetee...kuna jambo si bure....Truth shall Triumph over Deceit...ts a matter of time.....zitto Kumbuka huwezi kuwa mzuri wakati wote wewe si pesa kama amabavyo wakati huwezi kuwa mbaya kwa vile wewe si kifo
 
ZZK had never been a president material. He is not intelligent but a lier who rties to make use of weaknesses of the system. He is exactly the kind of Lyatonga Mrema, Ole Sendeka and Anna Kilango. They always talk to impress the public but behaving differently.

I believe 100% that his ending will be same as that of Mrema. Lats wait and see.
 
Yani huyu ZITTO ananitia kichefu chefu jamani huyu ni MBWA MWITU hatari na ni KANSA ya hatari SIMPENDI anadhani WATZ sisi ni wajinga hatujua kuchambua mambo na kubaini uozo uko upande upi jamani NAMCHUKIA ZITO kuliko navyomchukia shetani eti anasingizia siasa MPUMBAVU kabisa huyu jamani nasikia hasira.
 
Undumilakuwili kivipi mkuu? Tulia kwanza uongee taratibu... Zitto anaweza kusaidia nini katika nini?

Hivi unataka kuniambia ZITO hajaona ufisadi wote uliofanywa na Mhando?????, Nauhakika tangu wakati ule Rostam anataka kuiuzia mitambo yake ile ya Kifisadi kwa Tanesco/Serikali zita alishavuta ndiyo maana hadi leo anatoa ulinzi kwa nguvu zote hadi inafika mahali watu wana mashaka makubwa na kijana huyu anayetaka kuwa Rais wa JMT ili aizamishe jahazi letu hili vizuri.

Swali langu kama kwa kufuata sheria tunapoteza more than 6Bil, Zito anasimamia sheria kama hiyo bila aibu wakati Pesa hizo zinatosha kabisa kumaliza matatizo ya Madaktari nchi hii???/

ZITO asijifanye yeye malaika bwana, nadhani huu ni wakati wa kumwona zito kama Mtanzani mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya Mil 45, tusidhani ana uwezo zaidi ya kutetea maslahi yake na Pesa za kununua watu atakapogombania urais.
 
Anaweza kusaidia Tan\zania na watanzania. he is a nationalistic and a clean one. "Dua za kuku hazimpati mwewe" Go Zitto Go

Haya mambo yametokea huko bungeni aliko!wala hakuna acyempenda zk ameyataka mwenyewe,kigoma ndo wataamua 015
 
Hivi unataka kuniambia ZITO hajaona ufisadi wote uliofanywa na Mhando?????, Nauhakika tangu wakati ule Rostam anataka kuiuzia mitambo yake ile ya Kifisadi kwa Tanesco/Serikali zita alishavuta ndiyo maana hadi leo anatoa ulinzi kwa nguvu zote hadi inafika mahali watu wana mashaka makubwa na kijana huyu anayetaka kuwa Rais wa JMT ili aizamishe jahazi letu hili vizuri.

Swali langu kama kwa kufuata sheria tunapoteza more than 6Bil, Zito anasimamia sheria kama hiyo bila aibu wakati Pesa hizo zinatosha kabisa kumaliza matatizo ya Madaktari nchi hii???/

ZITO asijifanye yeye malaika bwana, nadhani huu ni wakati wa kumwona zito kama Mtanzani mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya Mil 45, tusidhani ana uwezo zaidi ya kutetea maslahi yake na Pesa za kununua watu atakapogombania urais.
c ndo hapo!
 
Mimi ni CDM damu damu, lakini mara nyingi ZZK huwa ananiachia huzuni kila anapofanya mavarangati ya kisiasa tukianza na ile movie ya Buzwagi ambapo inadaiwa alikula mlungula wa kutosha ili anyamaze. Kwa hiyo tokea kipindi hicho nimekuwa makini sana naye, sawa namkubali lakini sikihivyo kwa vile wanasiasa wengi nchini hawana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kama ZZK. He still need to grow politically!!
 
Sijaona jipya hapo. Zitto kaongea lakini hajajibu hoja hata moja, amekwepa na kijifanya ni political victim ktk game yake mwenyewe.

This fella has to seriously and restrospectively evaluate his very life.

Zitto is in danger of being added to a painful list of people with big talent but........no end product.
 
Hivi unataka kuniambia ZITO hajaona ufisadi wote uliofanywa na Mhando?????, Nauhakika tangu wakati ule Rostam anataka kuiuzia mitambo yake ile ya Kifisadi kwa Tanesco/Serikali zita alishavuta ndiyo maana hadi leo anatoa ulinzi kwa nguvu zote hadi inafika mahali watu wana mashaka makubwa na kijana huyu anayetaka kuwa Rais wa JMT ili aizamishe jahazi letu hili vizuri.

Swali langu kama kwa kufuata sheria tunapoteza more than 6Bil, Zito anasimamia sheria kama hiyo bila aibu wakati Pesa hizo zinatosha kabisa kumaliza matatizo ya Madaktari nchi hii???/

ZITO asijifanye yeye malaika bwana, nadhani huu ni wakati wa kumwona zito kama Mtanzani mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya Mil 45, tusidhani ana uwezo zaidi ya kutetea maslahi yake na Pesa za kununua watu atakapogombania urais.

Hebu nitajie Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO aliyefanyakazi kwa miaka hata miwili tu bila kashfa kwa kipindi cha mika akumi iliyopita.

Hebu tujiulize kuna nini mbona hicho kiti hakikaliki? Tatizo ni nini kama sio mfumo? Je maboss wa TANESCO ni BANGUSILO?
 
Kwa mtazamo wangu haitoshi kwa Zitto kuziita tuhuma hizo uzushiZimesemewa Bungeni ambapo hapapaswi kutolewa kauli yoyote isiyo na ushahidiKwa sababu Zitto ameita ni uzushi na kwa sababu amedai anasimamia kanuni, aanze kwa kutumia kanuni za Bunge kudai mtoa tuhuma athibitishe au afute kauliKila mtu hukana tuhuma hata kama ni za kweliWatu walikana Richmond na Epa na BuzwagiNarudia haitoshi kwa Zitto kukana, aende mbele zaidi

Haiwezekani kuwa Zitto tu ndio anazushiwa kuwa anapokea rushwa; mbona hajazushiwa Mdee au Mnyika? Na tukumbuke kuwa sio mara ya kwanza kwa Zitto kutuhumiwa kuwa amehongwa, kama sikosei mara ya kwanza alituhumiwa kuwa alihongwa wakati wa sakata la kununua mitambo chakavu ya Dowans alipotetea sana hoja ile, mara ya pili ni wakati Mkullo aliposema kuwa kamati yake ilihongwa wakati wa kujadili hatima ya Consolidated Holding Corp. ambapo aliitetea sana kuwa ingeundiwa separate agency na mara ya tatu ni hili sasa sakata la Tanesco anapomtetea Mhando!!! Haiwezekani kuwa mara zote hizo anazushiwa, huyu jamaa ana tamaa na sio muadilifu; ni mla rushwa anastahili kuogopwa kama ukoma!!
 
Hivi unataka kuniambia ZITO hajaona ufisadi wote uliofanywa na Mhando?????, Nauhakika tangu wakati ule Rostam anataka kuiuzia mitambo yake ile ya Kifisadi kwa Tanesco/Serikali zita alishavuta ndiyo maana hadi leo anatoa ulinzi kwa nguvu zote hadi inafika mahali watu wana mashaka makubwa na kijana huyu anayetaka kuwa Rais wa JMT ili aizamishe jahazi letu hili vizuri.

Swali langu kama kwa kufuata sheria tunapoteza more than 6Bil, Zito anasimamia sheria kama hiyo bila aibu wakati Pesa hizo zinatosha kabisa kumaliza matatizo ya Madaktari nchi hii???/

ZITO asijifanye yeye malaika bwana, nadhani huu ni wakati wa kumwona zito kama Mtanzani mmoja tu kati ya waTZ zaidi ya Mil 45, tusidhani ana uwezo zaidi ya kutetea maslahi yake na Pesa za kununua watu atakapogombania urais.

Wazi kabisa Stein!

Zitto alipotoka na anaendelea kupotoka. Unakumbuka alipotetea mitambo mibovu/mitumba inunuliwe la sivyo eti nchi ingeingia gizani? Bila kujali kuwa tayari majority ya nchi wako gizani kwani ni chini ya asilimia 15% ya Watanzania ndio waliofungiwa umeme wa TANESCO! Halafu eti huyo ndio genius chap!? Gimme a break.

Zitto ana superiority complexes,
 
Mh.zitto ili kuweka hali nzuri ya hewa sema hivi "nitaweka rehani ubunge wangu kama itathibitishwa kuwa nimepokea rushwa ili kumwokoa mhando" ukifanya hvyo ma bro wa2 watafunga midomo
 
Wazi kabisa Stein!

Zitto alipotoka na anaendelea kupotoka. Unakumbuka alipotetea mitambo mibovu/mitumba inunuliwe la sivyo eti nchi ingeingia gizani? Bila kujali kuwa tayari majority ya nchi wako gizani kwani ni chini ya asilimia 15% ya Watanzania ndio waliofungiwa umeme wa TANESCO! Halafu eti huyo ndio genius chap!? Gimme a break.

Zitto ana superiority complexes,

Kama unakumbuka wakati ule alikuwa anataka sheria ivunjwe ili kunusu nchi kumbe ana lake, this time watu wamevunje sheria ili kulinda maslahi ya nchi anataka sheria ifuatwe... Kivipi??? Hivi Zito na washabiki wake wanadhani waTZ ni vilaza wa kiwango hicho????

Mimi nataka Zito atuambie tufuate anayoamini yeye kwa sababu tu ni yeye siyo????

Aache utani na waTZ, huu si wakati wa kusikiliza nani anasema na kuamini lipi? bali ni wakati wa kujua nini kuko nyuma ya mambo yote yanayoendelea....

Embu atuambie zito kama anafikiri shheria inatakiwa kufuatwa tutakuwa tumeokoa kiasi gani cha pesa maana wengine wamesema pamoja na kuvunja sheria wenzetu wamesema wameokoa zaidi ya Bil 6 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom