Zitto afunguka na kueleza hafanyi siasa za kufuata upepo, anasimamia kanuni

ushauri kwa zito ni kwamba kama bado anataka kujifunza zaidi ajaribu kuwa makini sana asiwe mwepesi wa kulaumu asikilize watu wanaomkosoa zaidi kuliko wale wanaomsifu,afahamu kuna makosa ya wazi anayoyafanya kama vile kutoambilika,kujiamini kupita kiasi mfano mzuri ni hayo maneno kwamba hafuati upepo,nani kamwambia anafuata upepo.
zito afahamu ccm wanastaili yao ya kumtumia na yeye ameruhusu atumiwe kwa sababu anazojua yeye, ccm wakifanikiwa na yeye pengine atafanikiwa kwa ajenda yake lakini kama hawa jamaa zake wakishindwa basi na yeye kwisha habari yake

huenda haya yote si kweli lakini kuna watu tunafikiri hivyo
 
kwakwel hapo ameonyesha hs total fraud....mwenye macho aambiw ona....
 
ZZK ni alpha male? washindani wake wanafanya kila mbinu kuturn down. Wengine hatuko tayari kunyewshwa kasa na kumeza nzima nzima bila kuuliza. Fanya kazi ZZK, fuata kanuni, achana na habari za urais kwani kuna watu wanadhani urais wameumbiwa wao.
 
Nimeamini yote mema alokuwa anayafanya yalikuwa na malengo na si uzalendo tulioudhania,sema ameharibu huu msimu mbaya kujitangaza ilibidi afiche unafiki wake na apambane,ukweli umefichuka kuwa siyo mpambanaji ila mtafuta maujiko tu,shame upon him
 
In deed ni aplha male ndani ya chama na nje ya chama wanajaribu kumrudisha nyuma kwa nguvu zote
 
Hii ni sehemu ya majibu ya Zitto uko twitter:
Aliambiwa: fredrooney: Zittokabwe my bro we need statement ukanushe hizi tuhuma kwamba ulipokea hongo kuwatetea mhando bungeni

Akajibu: Zittokabwe: fredrooney sitatoa statement kwa mambo ya uzushi yanayosukumwa na agenda za kisiasa. Siku zote nasimamia ninayoamini. Sifuati upepo

Akaambiwa: fredrooney: Zittokabwe ok nashukuru kwa msimamo wako lakini kwanini unadhani wanakuandama je ni nguvu yako kuelekea 2015

Akajibu: Zittokabwe: fredrooney nadhani ni aina ya siasa zetu tu. siasa za kumaliza watu kwa kuzusha mambo yasiyo na ukweli. Hata hivyo "ukweli haufichiki"

Akaendelea: Zittokabwe: AnnieTANZANIA walisema hivi hivi kwa CHC. Sitetei Mtu kwa kuhongwa. Natetea kanuni. And Mhando akikutwa na makosa, aadhibiwe fredrooney

Amaa kweli nimekubali ZZK amekomaa kisiasa!
Zitto ni mtu smart sana, na kwa hakika atawasumbua sana kabla hawajapasuka ndani ya hicho chama chao. kwa wanaofahamu kilichotokea watakubaliana na mimi kwamba yuko sahihi, kwamba ni kweli kanuni ilibakwa na kukiukwa kwa kiasi kikubwa sana, na kwamba hakunaga justification ya kukiuka kanuni kwa maslahi ya umma, tutaamini vipi sasa kama kweli anayevunja sheria ana maslahi ya nchi at heart? ZZK ametunga sheria na wenzake bungeni na hana budi kuzisimamia zikitekelezwa na siyo zikisiginwa namna hii
 
Nimeamini yote mema alokuwa anayafanya yalikuwa na malengo na si uzalendo tulioudhania,sema ameharibu huu msimu mbaya kujitangaza ilibidi afiche unafiki wake na apambane,ukweli umefichuka kuwa siyo mpambanaji ila mtafuta maujiko tu,shame upon him
si kitu kibaya mtu kuutamani Urais

si kitu kibaya mtu kuutaka Urais

si vibaya mtu kusema anautaka urais, ni lazima wawepo watu wanaoutaka Urais ili tukae tayari kuwatazama sasa tabia na mienendo yao na tufanye maamuzi sahihi. wanaodhani kuwa wao wana haki zaidi ya kuwa Marais kuliko ZZK ndani ya CDM wanapotea. mbona ndani ya CCM kuna watu wengi sana wanaoutaka Urais wa nchi yetu na hawashughulikiwi na kuchukiwa namna hii kama cdm? akina JM, HK, EN, EM, WN, MN, AM (safu ya vijana) na akina EL, SS, SW, BM (safu ya wazee) etc na kuna wengine wengi sana tu ambao hawajaweka wazi nia zao

tumwacheni ZZK aendelee kuota. BM bado hajaoteshwa, wengine tayari wameoteshwa kuwa wanaweza kuwa marais wa nchi hii, basi tuwaache watimize ndoto zao ama wafanye kazi kuelekea kutimiza ndoto zao
 
Zitto ni ccm ndani ya chadema. Chadema wanalijua hilo toka zamani ila wanangoja ajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Zitto nilikuwa namkubali sana lakini sasa ni janga la kitaifa ni Kama cancer na ukimwi Pamoja na malaria

Mliwahi kusikia ile stori ya boyfriends wawili wanapatana kumwaibisha na kumtema girlfriend anayewachanganya. Basi ndiyo yamemkuta Zitto. Hafai huyu Zitto
 
si kitu kibaya mtu kuutamani Urais

si kitu kibaya mtu kuutaka Urais

si vibaya mtu kusema anautaka urais, ni lazima wawepo watu wanaoutaka Urais ili tukae tayari kuwatazama sasa tabia na mienendo yao na tufanye maamuzi sahihi. wanaodhani kuwa wao wana haki zaidi ya kuwa Marais kuliko ZZK ndani ya CDM wanapotea. mbona ndani ya CCM kuna watu wengi sana wanaoutaka Urais wa nchi yetu na hawashughulikiwi na kuchukiwa namna hii kama cdm? akina JM, HK, EN, EM, WN, MN, AM (safu ya vijana) na akina EL, SS, SW, BM (safu ya wazee) etc na kuna wengine wengi sana tu ambao hawajaweka wazi nia zao

tumwacheni ZZK aendelee kuota. BM bado hajaoteshwa, wengine tayari wameoteshwa kuwa wanaweza kuwa marais wa nchi hii, basi tuwaache watimize ndoto zao ama wafanye kazi kuelekea kutimiza ndoto zao

Kuutaka urais kwa gharama zozote ndiko kulikotufikisha hapa tulipo. Kikwete hakufaa na hafai kuwa rais. Watanzania tujifunze kutokana na watu wa aina hii.
 
hapo kwenye RED kakomaa wapi kama sio undumilakuwili?

Who is Zitto? hivi unafikiri zitto anaweza kusadia nini?

Zitto unamuelewa vizuri sana usijitie upumbavu wa akili, na kama unataka kumjua zaidi basi endeleeni na chuki zenu zisizo n sababu. mwaka huu lazima kieleweke,lazima demokrasia ifwate ndani ya CDM au tangazeni mapema kuwa CDM ni chama cha.......
 
ZZK ni alpha male? washindani wake wanafanya kila mbinu kuturn down. Wengine hatuko tayari kunyewshwa kasa na kumeza nzima nzima bila kuuliza. Fanya kazi ZZK, fuata kanuni, achana na habari za urais kwani kuna watu wanadhani urais wameumbiwa wao.
Zitto Tangaza nia yako ya kugombea URAIS kama umeshaamua kugombea ili watanzania wakuelewe na kukupima mapema asikutishe mtu Watanzania kibao wako nyuma yako mwaka huu lazima demokrasia ifuatwe cdm
 
hapo kwenye RED kakomaa wapi kama sio undumilakuwili?

Who is Zitto? hivi unafikiri zitto anaweza kusadia nini?

Mashabiki wa Zitto ndo wanaofuata siasa za kufuata upepo. Mimi sioni ubora wake.

Ni wa kawaida tu ila anapigwa tafu na cyber literacy. Anacopy na kupaste idea za watu.

Hata wazo la mwanasiasa kutumia muziki(Leka Dutigite) kufikia ujumbe kwa jamii ameiga kwa Meya wa Cape Town Patricia de Lille.
 
Back
Top Bottom