Hahahaaa Chama umenichekesha sana!
Nimeipenda hii combination. Hapo Slaa mavi yanagonga chupi yanarudi.
Naytsory acha unaa eleza ukweli! Mkutano ulikuwa wa mbowe alialikwa na wachaga wenzake kanisani kashtuka kuja kamtuma muislam kupotezea. Cdm ss yajikita Lutheran?toa ukweli ndio game la siasa na sio kudanganya Wajumbe humu .
Mkuu tumia lugha Nzuri hayo ni maneno ya VijiweniNimeipenda hii combination. Hapo Slaa mavi yanagonga chupi yanarudi.
Ukitaka kujua sura zake mbili na kama ni majungu suburi ripoti ta kamati ndogo inayoongozwa na mzee Ngwilizi, mambo yote yapo hapo na ndio anaenda kuwa fired na chama!Haya ndio majungu Zitto ni Zitto siku zote hizo sura mbili ni zipi? au hiyo nyingine aliyoibeba ni Dr. Slaa au Mbowe?
Chama
Gongo la mboto DSM
Kwani mikutano ya M4C ikiwa inafanyika viongozi wengine wa chadema hawaruhusiwi kuendesha mikutano?Zitto anapotea taratibu kwenye medali za siasa
I do not trust Zitto's anymore (always personal move rather than party move)
Mi nasubili picha. mia
Jitahidi kutuwekea picha,huo uwanja naufahamu sana siyo mbali na mjini maana ni km 500m nje ya mji kuelekea singida!viva cdm!kanyaga twendeeeeeeeee
watamlazimisha ajitoe kama walivyo fanya kwenye uchaguzi wa umwenyekiti,MBOE akapita bila kupingwa,na safari hii point ni ileile,neno kwamaslahi ya chama jitoe litasimama.Tunaisubiri kwa hamu hiyo siku ya kupiga kura
Chama
Gongo la mboto DSM
Alaah si tuliambiwa yuko bize na bunge ndo mana hahudhurii mikutano
Zito ni bosi wa Rose Kamili, so seniority takes precedence, hence ni Zito alifanya mkutanoMkuu Naytsory, kwanza asante kwa taarifa. Naomba ufafanuzi kidogo, aliyefanya mkutano ni ZZK au Rose Kamili?!. Nombeni tuache ushabiki uliopitiliza!, headline inasema ZZK afanya mkutano Katesh!, inside story unamtaja Kamili ambaye base yake ni Katesh!.
Kwa maoni yangu mkutano ni wa Rose Kamili, ZZK atakuwa alikaribishwa kuuhutubia!.
Naunga mkono utoaji wa taarifa zozote humu jf, ila natatizwa sana na taarifa zenye "ill motives behind"!.
chadema mageuzi
Gamba lililo kubuhu.Nimeipenda hii combination. Hapo Slaa mavi yanagonga chupi yanarudi.
Acha uzushi, alikopa ya saccos, na saccos ina sheria ambazo alizozifuata. saccos ina hela za wanachama, na mkopo au misaada mbalimbali.Hata kama nyingine ni ruzuku bado sheria za saccos ndizo zinambana kutegemea makubaliano ya saccos na chama.Pia ujue Saccos huwa ikimpatia mtu mkopo huwa inautoa katika fund mbalimbali na marejesho yake ni hivyo hivyo ili kutrack mikopo, madeni nafaida/hasara.Usiongee kitu kama hujui ,amekopa hela ya ruzuku ya chama ambayo inatokana na kura za wananchi walizopiga 2010,ambazo ni kodi za wananchi wanazolipa serikalin.mkumbusheni mzee huyo alipe deni ,