Zitto, ACT Wazalendo hatarini Kufilisiwa

Yawezekana ikawa na ukweli hii habari maana tumeshuhudia viongozi waandamizi wa chama hicho wakihama chama kwa sababu ya kukosa viposho posho na mishahara yao
 
Ilipofahamika kuwa Mbowe anadaiwa mabilioni alitetewa sana, leo Zitto anadhihakiwa, japo bado ni tetesi. Hakika nimeamini cdm kuna watu na viatu.
Kudaiwa ni kudhihakiwa, yeye alipe tu hakuna dawa nyingine zaidi ya kulipa.
 
Nimeisoma habari hii. Chama kupitia Msemaji wake Abdallah Khamis kimekiri kudaiwa Dola za Kimarekani 144,450 (Tshs. 313,456,500) ambazo zilikopwa Zitto alikopa kwa niaba ya chama chake kwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwana mama Soraya Aziz Souleymanne mwaka jana kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu. Matunda yake yalionekana kwani chama kilishinda jimbo la Kigoma Mjini. Chama kimeahidi kulilipa deni hilo. Kukopa ni jambo la kawaida ila kufilisiwa ni jambo la kusikitisha. Lakini madiwani na mbunge wa Kigoma Mjini wakichangishana mbona rahisi tu kulipa? Vyama vingine wabunge na viongozi wake huchangishana kuendesha Vyama vyao. ACT- "Wazalendo" mchangieni Zitto aliyekopa kwa niaba ya chama.
 
Anakopa kwa niaba ya chama ili ashinde jimbo lake tu halafu anataka chama kilipe.
 
Back
Top Bottom