Wanajf toeni maoni basi mbona malalamika tu, mshikaji atajisikia vibaya sasa, yote yanayosemwa ni kweli ila tutoe maoni kuhusu hii bajeti ya mwaka huu basi. Kwaajil ya kumrekebisha zito tutaanzisha nyingine.
Anaweza kuangalia huu uzi, https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/263883-mgimwa-punguza-matumizi-ya-dola-za-marekani.html
NB: Next time akitaka maoni ya JF ni vema akaleta ombi lake JF. Kwa maoni yangu JF ina michango bora zaidi kuliko FB au michuzi.