Zito hajui kiandika vizuri

kichapo2015

Member
Jun 10, 2011
23
0
barua.jpg

SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO
 
http://4.bp.blogspot.com/-rK-5LtrB0kc/TfJENp5NtsI/AAAAAAAAneg/q6uksJhP_gs/s1600/barua.jpgSOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO

Aisee wewe ndio unajua KIANDIKA (kuandika?) Vizuri.

Hongera, maana wewe hata maandishi ya keyboard yanakupa tabu!

Kweli nyani haoni kundule!
 
WEWE HICHO KISWAHILI NI FASAA WEWE NI KIANDIKA AU ULIZANI KUANDIKA? NA WANA JF WENGI UTAONA HUMU WATAONA NMEKOSEA HILO NENO .TATIZO SHULE NDOGO.QUOTE=Kimbunga;2085793]Mbona hata wewe umekosea. "Zito hajui Kiandika Vizuri" ndio nini?
Wewe shule yako kubwa ndio maana unasema kiswahili Fasaa badala ya Fasaha na Ulizani Badala ya Ulidhani!! Shule yako inaweza kuwa kubwa lakini ukawa si Mtanzania halisi ama ni walewale waliopelekwa ughaibuni kusomea huko tangia chekechea (vidudu). Big Up
 
Msameheni jamani si mnaona hata tarehe ya kujiunga ! Labda ndio hao waliotumwa kwenye mitandao ya kijamii .
 
  • Zito hajui kiandika vizuri
Umakini unaouongelea na upi, unapoandika mambo kama haya unaharakia nini au ndo madhara ya kukaririshwa na fikra za chama
 
Msameheni jamani si mnaona hata tarehe ya kujiunga ! Labda ndio hao waliotumwa kwenye mitandao ya kijamii .

Na kweli. Nimeondoka manake unaweza vimba vidole kwa kubishana na mtu ambaye hajui alitendalo
 
Aisee wewe ndio unajua KIANDIKA (kuandika?) Vizuri.

Hongera, maana wewe hata maandishi ya keyboard yanakupa tabu!
Kweli nyani haoni kundule!

umeshaanza kutukana sasa....ngoja nakugombeza sasa hivi
 
Turudi kwenye suala la msingi, huyu mpiganaji anajaribu kutuonyesha njia sahihi ya matumizi ya fedha za walalahoi walipa kodi. Naomba wanaojua hesabu watukokotolee, mapendekezo haya ya Mheshimiwa Zitto yakifanyika kwa wabunge wote wa Jamhuri ya Tanzania zitapatikana fedha kiasi gani zitakazotumika kwa maendeleo ya majimbo yao?
 
SOMA BARUA YAKE ALIYOANDIKA KUSEMA POSHO ZAKE ZIREKEBISHWE AKAUNTI NA ZIPELEKWE KIGOMA. ETI KIGOMA KATIKA MAENDEKE YAKE CJUI ALIMAANISHA MAENDELEO YAKE AU VIPI? JITAHDDDDDDD KUWA MAKIKI KAKA,UNAONYESHA ATA MAANDISHI YA MKONO YANATIA SHAKA JUU YA USOMI WAKO

Umekosa cha kuandika??
we mwenyewe huoni *******?
Zitto huwa anaandika article ndefu tu, hayo makosa madogomadogo tu yakiuandishi.
 
Hakuna kitu hapa wewe kichapo2015 umetumwa hapa..........?sisi tunachotaka posho za wabunge zisitishwe tu bila kujali imeandikwaje kwenye barua sasa waambie wenzako wa chama cha magamba wasitishe kuchukua posho tu tutawaelewa .
 
Back
Top Bottom