Zitanitoka TSHS ngapi?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
nina shida ya kausafiri kwa ajili ya mke wangu kuendea sokoni, watu wengi wamenishauri NIAGIZE nje (JP) inakuwa nafuu kiasi, naweza sevu hata ada ya mtoto! naomba mnifahamishe nitatakiwa kulipia vitu gani na gani kwa kiasi gani kuanzia bandarini mpaka kwa mke wangu? i'll aprishieti eni help, teh teh!
 
pia naskia kuna baadhi ya kodi zimesamehewa kwa waalimu, mke wangu ni mwalimu. tunaweza kuokoa pesa kiasi? jua kali jamani. mwenye habari za ndani jamani
 
pia naskia kuna baadhi ya kodi zimesamehewa kwa waalimu, mke wangu ni mwalimu. tunaweza kuokoa pesa kiasi? jua kali jamani. mwenye habari za ndani jamani

Usiniambie.
Kodi zipi hizo zimesamehewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom