Zipo faida mme na mke kuwa kabila moja?

Kama mnataka kuongea kitu cha siri si muende faragha!Kwanza sio ustaarabu kuongea lugha wenzako wasioijua mkiwa mmejumuika pamoja!Itaneni pembeni myamalize!Hiyo nyingine nakubaliana nayo...japo haitoshi kutangaza ndoa!
Kwa kuongezea hapo kwenye red. Mkiongea lugha zenu kwenye mjumuiko wa watu inaonekana kama mnawatukana au kuwateta wasiojua lugha hiyo.

Hii ni kweli kabisa hata mimi nina mchumba tofauti na kabila langu na tunaelewana vizuri kuliko hata wa kabila langu.
 
cha muhimu mapenzi ya dhati tu.. mambo ya makabila ilikua zamani vijana wa siku hizi wengi wetu hata lugha zetu hatujui
 
Faida ipo.
Mtakapokuwa mnaenda kusalimia wazazi wote mtaelekea sehemu moja.
Kama ni watu wa mila na matambiko mtashiriki pamoja.
Mtaongea vilugha vyenu pamoja.
Ol in ol ndoa yenu itafata misingi ya kikabila lenu na mtafata utaratibu wa kabila lenu kusolve conflicts.
Ukimpata wa kabila lako oa.
 
Zamani yalikuwa na faida nowdays is useless watoto kutwa nzima wanaongea ung'eng'e!mama baba wakirudi hoi kwahiyo mambo yanafutika,na wanawake wakabila moja pasua kichwa!!!
 
Ahsante. Lakini, kuna faida kuoana kabila moja?

nYINGI SANA, mfano mie msukuma MAKABILA MENGINE hawajui UGALI wa kisukuma so nikiwa na msukuma mwenzangu duh nitakula UGALI na mahaba ya KISUKUMA, muulize PAKA MWEUSI Atakwambia nini mahaba ya Kisukuma
 
Back
Top Bottom