Zipe maneno hizi picha

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,303
Ndugu zanguni, naomba mnielewe.
Ndugu zanguni mnachotaka kunifanyia sio fresh kabisa
Katavi mbali ndugu zanguni
Isitoshe nina mke na watoto ambao bado ni wadogo.
Kwa hiyo tuhurumiane jamani. Mimi pia binadamu jamani
Nawaomba sana ndugu zanguni msinimwagie ugali wangu.
Plesssse pleeeeee. Mie mtoto wa mkulima sina pa kwenda.

IMG_9138.JPG


Ndugu zanguni nawahakikishieni hadi sasa mawaziri 8 kwishaney.
Habari ndio hiyo. Hapa namsubiri tuu mkuu wa kaya kuja kumaliza mambo.
Hivyo ndugu zanguni, poozeni basi.
Zitto nipatie tuu ile karatazi yenye sahihi 70
Mie nita sort out mambo madogo madogo yaliyobakia.
I promise you guys. I won't let you down.


IMG_9134.JPG


Acha kutuingiza choo cha stendi wewe
Haitoki karatasi ya sahihi 70 hapa.
Unafikiri sisi wa kuja?
Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Pinda: Hahahahaa

IMG_9136.JPG
 
walio husika wawajibishwe, hakuna hili wala lile. walowezi wa mali za umma kaz kwenu. mwaka huu kitaeleweka 2, na bado ndo kwanza 2naanza, pinda fichua vigogo hivyo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom