ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

kweli ni bora umfadhili mbuzi utakunywa supu c binadamu,yani m2 kukupa hata info n kitendo cha kushuru,.............nimeshajua nyie ndo mnaopewaga majibu kwenye intervw
 
Ubinadamu unaelekea kutoweka watu wengine ni wezi wa muda wa wengine kwa kupotosha kwa kusudi tofauti na tangazwa
 
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

Badilikeni jamani.......mjini shule!

Asante kaka.
 
Hahahaha asante kaka.
 
kama hawezi kufungua kwenye cm anaweza kwenda cafe maana mtu atoapo link ya kazi anasaidia alengi tu watumia cm. Acheni watu waweke link na pia kama anaweza kuatach hizo kazi si mbaya kaka
 
[h=2]
icon1.png
Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu[/h] C unajua kibongo kibongo kumiliki blog issue ndo mana wanaji announce sana
 
[h=2]Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu[/h]
icon1.png
Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

C unajua kibongo kibongo kumiliki blog issue ndo mana wanaji announce sana
 
[h=2]Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu[/h]
Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

icon1.png
Re: ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

C unajua kibongo kibongo kumiliki blog issue ndo mana wanaji announce sana​
 
Kiekweli, kupewa link ni msaada mkubwa coz ktk link utapata details zaidi juu ya kazi husika na organization husika.
 
ulivyomaliza chuo hakuweka kiasi cha akiba kwa ajiri ya internet?. boom ulitumia vibaya now unatulaumu.... kupata kazi ni kazi wewe dnt complain bana
 
Back
Top Bottom