ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!

Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.

Badilikeni jamani.......mjini shule!
Share details, NO Hotlinking please!
 
Ndugu yangu sijui hata unacholalamikia ni nini?
Kuwa na shukrani mtu anakupa njia wewe ndio unapaswa kufuata hyo njia sasa ww unataka utafuniwe umeze tu.

ndio kauli mbiu ya JF "we dare to talk.........." mjini shule!
 
Anachokisema mkuu hapo juu ni sahihi sana.

Tunaomba tujitahidi kufanya hivyo.

Tangazo lolote ambalo halitakuwa na maelezo ya kutosha, kwa maana ya kuwekwa link tu litaondolewa.

Asante.
ina maana hairuhusiwi mtu kuweka link?..mh akili masaburi hii
 
Anachokisema mkuu hapo juu ni sahihi sana.

Tunaomba tujitahidi kufanya hivyo.

Tangazo lolote ambalo halitakuwa na maelezo ya kutosha, kwa maana ya kuwekwa link tu litaondolewa.

Asante.

nashukuru mkuu......
Jamani kitufe kwenye mobile..."THANKS"....
 
Anachokisema mkuu hapo juu ni sahihi sana.

Tunaomba tujitahidi kufanya hivyo.

Tangazo lolote ambalo halitakuwa na maelezo ya kutosha, kwa maana ya kuwekwa link tu litaondolewa.

Asante.

Ni kweli,,,,,,pia hata mimi inani''boa'' sana...japokuwa natumia ''laptop''......wekeni maelezo japo ya kuhusu hiyo kazi....then ukitaka ku'apply ndio unafuata link......
Kwa mtu ambaye hana ''ajira'' kisha unamuwekea ma'link'' kibao maana yake anatumia pesa nyingi ku'browse'' ambayo nigharama zaidi (anatumia kitu ambacho kiko nje ya uwezo wake wakati anasaka hiyo ''ajira''.)
NB:Kama mtu ana''blog yake anataka kujitangaza fanya ivi:-
User name:Weka jina la blog yako please......Mfano:KWI KWI.BLOG...........ZOOM.BLOG.....TOTOLUCK.BLOG....n.k
 
Wabongo kweli hamna shukrani khaaaa!!!
Anzia kuwaambia hao wenye ma'blog yao ya kazi(Wanaoweka ma'link' tu........wamepewa nafasi bure ya kujitangaza kupitia JF ya bure wanatumia vibaya mbona sijaona ''thread'' ya hao wenye ma''blog'' hata ya kusema ''asante JF''....
Hata maelezo hawaweki,wanaweka kichwa cha habari''kazi leo''...kisha ukifungua uzi huo unakuta wameandika ''Bofya hii link''......
 
....................................... mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!
..................................................................Badilikeni jamani.......mjini shule!
Hapo kwenye RED....MR.DRY Naomba upigie mstari________________________________________________________
 
Back
Top Bottom