Zinduna talk show wiki ijayo mjengoni atakuwepo mama kipenzi BADILI TABIA~~~~~!

kwanza nashukuru umepona pamoja na kuwa Bishanga kweshafanya mambo hapo.....

pili napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru ndugu mtangazaji kwa kunipa fursa hii...

tatu, ndo naelekea kariakoo kununua pamba mpya, perfume nitaazima kwa mke mwenzangu cacico na powder nitachukua kwa Yummy, gfsonwin ameniletee mchuchumio wa kuvaa siku hiyo na nitaambatana na mume wangu Asprin hadi studio...

avatar45959_18.gif

BADILI TABIA

Ni matumaini yangu kwamba kwa wale ndugu zangu waislamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu salama kabisa.

Baada ya kupata nafuu naamini inshaallah wiki ijayo Jumamosi ya tarehe 28, Julai 2012 kipindi hili cha Zinduna talk show kitarejea kama kawaida na nimeona nianze na mtu muhimu sana hapa JF, Mama yangu wa hiyari BADILI TABIA.

Naomba kwa hisani yako mama uthibitishe uwepo wako katika kipindi hicho muhimu hapo juma lijalo naamini itakuwa ni fursa nzuri kwa wana JF kukufahamu vizuri na labda watapata pia fursa ya kujifunza mengi kupitia uzoefu wako katika mapenzi na mahusiano ya kijamii.

Pia ningependa kuwashukuru Smile na Erickb52 kwa kujitolea kuendesha kipindi hiki wakati nilipokuwa mgonjwa, naamini humu kuna vipaji vingi sana na sasa najua kuwa, kumbe hata nitakapokuwa na udhuru wapo wadau wa kusongesha Zinduna talk show kama kawa.

Nawatakia siku njema na ninaomba wiki ijayo tuwe pamoja katika kumkaribisha mama yetu BADILI TABIA

ONYO: Kipindi hakipo leo kwa hiyo msianze kumsakama mualikwa na maswali, subirini wiki ijayo ndio mje hapa na maswali yenu.
 
Last edited by a moderator:

kwanza nashukuru umepona pamoja na kuwa bishanga kweshafanya mambo hapo.....

Pili napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru ndugu mtangazaji kwa kunipa fursa hii...

Tatu, ndo naelekea kariakoo kununua pamba mpya, perfume nitaazima kwa mke mwenzangu cacico na powder nitachukua kwa yummy, gfsonwin ameniletee mchuchumio wa kuvaa siku hiyo na nitaambatana na mume wangu asprin hadi studio...
tutakusupport vibaya mno! Shaka ondoa!
 
nitakuwepo madame,
hapa najaribisha hereni za kuvaa siku hiyo...

Inategemea sana na uwepo wa mtu, mwanzoni nilikuwa nawasiliana na mwalikwa kwa PM, lakini sasa nitakuwa naweka jina la mwalikwa wa wiki inayofuata katika kila talk show ili mwalikwa huyo aweze kuthibitisha uwepo wake siku hiyo aliyoalikwa.
Kwa kuwa zimepita wiki mbili bila mimi kuwepo online, ndio maana nimetumia fursa hii kutoa mwaliko rasmi kwa mama yetu BADILI TABIA, na kama akishindwa kuthibitisha, basi nitachagua mtu mwingine.
 
kwanza nashukuru umepona pamoja na kuwa Bishanga kweshafanya mambo hapo.....
pili napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru ndugu mtangazaji kwa kunipa fursa hii...

tatu, ndo naelekea kariakoo kununua pamba mpya, perfume nitaazima kwa mke mwenzangu cacico na powder nitachukua kwa Yummy, gfsonwin ameniletee mchuchumio wa kuvaa siku hiyo na nitaambatana na mume wangu Asprin hadi studio...

Mke mwee yaani shaka ondoa mie na cacico tutahakikisha wewe na mume wetu mmepiga pamba za nguvu......tutawapeleka mpaka studio halafu tutakua counter tunapata moja mbili tukiwasubiri mmalize mahojiano na Zinduna wala usijali darling BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana nawapenda wake wenzangu....ndoa yetu na idumu na mume etu Asprin adumu..

Back
Top Bottom