zinduna anatafutwa na familia yake mpwapwa.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kuna baba yake mdogo alihojiwa na kipindi zamaradi mtetema na kusema anamtafuta zinduna. kwao ni mpwapwa dodoma. Zinduna mwenyewe sasa hivi anajiita shamsa kwenye movie za bongo anaishi ilala. mara ya kwanza alijitambulisha kwamba amekua kwa shida sana lakini huyu baba ake kakanusha kwani anasema alitoroka kutoka dodoma na alitoroka shule na kuja dar wala hakufikia kwa ndugu. So ndugu zake wakaja kumuona take one clouds tv sasa ndo wamemfuata dar. zinduna rudi nyumbani bana. Mia
 
Back
Top Bottom